Jocasta
JF-Expert Member
- Aug 28, 2014
- 474
- 595
Aliingia breed tarehe 4 hadi tarehe nane mwezi wa 12, alipotoka karibu kila siku tunakutana kimwili bila kinga, mzunguko wake ni siku 33, manaane ovulation ilikuwa tarehe 24 mwezi uliopita, tangu ovulation leo ni siku ya 12 hajaingia mpna nimempima nikakuta negative, na analalamika kuwa tumbo na kiuno vinauma.
Hii imekaaje wakuu?
Hii imekaaje wakuu?