Hapa itakuwa shida nini, mwamba kapiga game nusu saa anaona hajafaidi kabisa

Tafuta hela uepuke msongo wa mawazo.
Vijana mnapenda starehe lkn ziko nje ya uwezo wenu
 
Vitu vyote vinafaa , vitu vyote si kwa kila mtu, si Kila mtu apaswa kuwa mwenye vyote, baadhi ya viafavyo haviwafai wengine, Kila kifaacho kina afaaye na kila afaaye sio mwenye vyote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…