Hapa itakuwa shida nini, mwamba kapiga game nusu saa anaona hajafaidi kabisa

Hapa itakuwa shida nini, mwamba kapiga game nusu saa anaona hajafaidi kabisa

Habarini

Sijui kuandika sana kiufupi ipo hivi.

Leo nilikuwa na mmoja wa rafiki zangu sasa wakati wa story za hapa na pale jamaa si ndo akanisimulia kuwa juzi alikuwa na pisi yake room kwa hiyo akawa kapiga mzigo kama nusu saa hivi kitu ikalala kabisa. Akatulia usiku tena akamshtua akapiga kama dakika kumi kitu ikalala so jamaa anaona hajamfaidi demu wake kabisaa ndo akawa ananiuliza shida ni nini ett.

Mimi nikamjibu iatakuwa hana hisia na huyo mwanamke.

Kwa hiyo mnisaidie mawazo au shida ni nini mtu 5 unapiga nusu saa tu mzigo unalala na mwamba anaona hajafaidi kabisaa

Pia demu wake baada ya mechi akaanzaa kumwambia mwamba eti mimi sitaolewa ila nataka tu mtoto kutoka kwako mara nakupenda tu wewe ila sitaki kuolewa na hapo ndo mwamba akaona kama kazingua zaidi.

mzabzab
dronedrake
Red black
DungaMawe

Naombeni mawazo na ushauri wenu wakuu.

Natanguliza shukurani 🙏😊
Pole sana kwa yaliyokupata.

Itakuwa demu sio wa type yako.
 
Sio mimi mkuuu. Ahsante kwa ushauri wako.
Acha woga mwamba siyo aibu hata Kama ni wewe. Huwatokea wengi tu sema kila mtu na siri yake. Punguza hofu wakati wa mechi.

  • Fanya mazoezi ya push-ups, squatting, na kichura chura kidogo.
  • Kula bamia isiive sana, kula almonds, karanga, korosho, supu ya samaki wabichi hasa sea foods.
  • Usitumie pombe kali au kwa wingi.
  • Usile mafuta mengi au chips kavu, chips mayai na kuku wengi wa kisasa.
  • Lala masaa yanayo shauriwa, usilale pale Sana au masaa machache.
  • Mwisho na muhimu kuliko vyote tumia tangawizi, pilipili mtama/manga, vitunguu saumu punje mbili kila siku kutwa mara mbili kwa siku 14, asali mbichi vijiko viwili vya chakula vyote changanya kwenye maji ya Moto makali kama chai.
  • Au weka limao, tangawizi na Asali pekee bila hivyo vingine.
  • Ningependa kujua umri wa tunaye mshauri pamoja na unene wa mwili wake.
 
Acha woga mwamba siyo aibu hata Kama ni wewe. Huwatokea wengi tu sema kila mtu na siri yake. Punguza hofu wakati wa mechi.

Fanya mazoezi ya push-ups, squatting, na kichura chura kidogo.
Kula bamia isiive Sana, kula almonds, karanga, korosho, supu ya samaki wabichi hasa sea foods.
Usitumie pombe kali au kwa wingi.
Usile mafuta mengi au chips kavu, chips mayai na kuku wengi wa kisasa.
Lala masaa yanayo shauriwa, usilale pale Sana au masaa machache.
Mwisho na muhimu kuliko vyote tumia tangawizi, pilipili mtama/manga, vitunguu saumu punje mbili kila siku kutwa mara mbili kwa siku 14, asali mbichi vijiko viwili vya chakula vyote changanya kwenye maji ya Moto makali kama chai.

Ningependa kujua umri wa tunaye mshauri pamoja na unene wa mwili wake.
Shukurani 😂🙏👊
 
Tumia zaidi vyakula visivyo kaangwa na mafuta.
Vizuri ni michemsho na vyakula vya kuchoma /kuoka kwenye moto.
Punguza matuzi ya sukari na mafuta.
Soda zione kama adui pendelea maji tu.Au kunywa moja tu kwa siku au kwa siku tatu.
 
mimi sitaolewa ila nataka tu mtoto kutoka kwako mara nakupenda tu wewe ila sitaki kuolewa

Muhimize ahakikishe hampi mimba huyo demu wake kama kweli anataka mtoto alelewe katika mazingira mazuri maana demu wake siyo mama bora
 
Sawa mkuu ahsante kwa ushauri wako🙏
 
Tumia zaidi vyakula visivyo kaangwa na mafuta.
Vizuri ni michemsho na vyakula vya kuchoma /kuoka kwenye moto.
Punguza matuzi ya sukari na mafuta.
Soda zione kama adui pendelea maji tu.Au kunywa moja tu kwa siku au kwa siku tatu.
Nimekuelewa sana mkuu🙏
 
Asubuhi akimbie km10, anywe maji lita mbili na kikombe cha tangawizi. Mchana baada ya kula apate maji lita mbili, jioni apate sahani yenye tikiti, parachichi, karanga na supu ya pweza kabla ya kulala apge tizi la kegel push up 70, squat100, baada ya mwezi njoo hapa utoe ushuhuda.
 
Back
Top Bottom