Hapa itakuwa shida nini, mwamba kapiga game nusu saa anaona hajafaidi kabisa

Pole sana kwa yaliyokupata.

Itakuwa demu sio wa type yako.
 
Sio mimi mkuuu. Ahsante kwa ushauri wako.
Acha woga mwamba siyo aibu hata Kama ni wewe. Huwatokea wengi tu sema kila mtu na siri yake. Punguza hofu wakati wa mechi.

  • Fanya mazoezi ya push-ups, squatting, na kichura chura kidogo.
  • Kula bamia isiive sana, kula almonds, karanga, korosho, supu ya samaki wabichi hasa sea foods.
  • Usitumie pombe kali au kwa wingi.
  • Usile mafuta mengi au chips kavu, chips mayai na kuku wengi wa kisasa.
  • Lala masaa yanayo shauriwa, usilale pale Sana au masaa machache.
  • Mwisho na muhimu kuliko vyote tumia tangawizi, pilipili mtama/manga, vitunguu saumu punje mbili kila siku kutwa mara mbili kwa siku 14, asali mbichi vijiko viwili vya chakula vyote changanya kwenye maji ya Moto makali kama chai.
  • Au weka limao, tangawizi na Asali pekee bila hivyo vingine.
  • Ningependa kujua umri wa tunaye mshauri pamoja na unene wa mwili wake.
 
Shukurani πŸ˜‚πŸ™πŸ‘Š
 
Tumia zaidi vyakula visivyo kaangwa na mafuta.
Vizuri ni michemsho na vyakula vya kuchoma /kuoka kwenye moto.
Punguza matuzi ya sukari na mafuta.
Soda zione kama adui pendelea maji tu.Au kunywa moja tu kwa siku au kwa siku tatu.
 
mimi sitaolewa ila nataka tu mtoto kutoka kwako mara nakupenda tu wewe ila sitaki kuolewa

Muhimize ahakikishe hampi mimba huyo demu wake kama kweli anataka mtoto alelewe katika mazingira mazuri maana demu wake siyo mama bora
 
Sawa mkuu ahsante kwa ushauri wakoπŸ™
 
Tumia zaidi vyakula visivyo kaangwa na mafuta.
Vizuri ni michemsho na vyakula vya kuchoma /kuoka kwenye moto.
Punguza matuzi ya sukari na mafuta.
Soda zione kama adui pendelea maji tu.Au kunywa moja tu kwa siku au kwa siku tatu.
Nimekuelewa sana mkuuπŸ™
 
Asubuhi akimbie km10, anywe maji lita mbili na kikombe cha tangawizi. Mchana baada ya kula apate maji lita mbili, jioni apate sahani yenye tikiti, parachichi, karanga na supu ya pweza kabla ya kulala apge tizi la kegel push up 70, squat100, baada ya mwezi njoo hapa utoe ushuhuda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…