Hapa jide kule fa,kazi ipo juni 14

Hapa jide kule fa,kazi ipo juni 14

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Wakati shoo ya mwana fa na lady jaydee ikiwa imearishwa ili kupisha msiba wa msanii mwenzao albert mangwair,habari mpya ni kwamba tarehe mpya ya shoo hizo imegongana tena kama ilivyokuwa mwanzo,mwana fa alikaririwa katika vyomb vya habari kuwa shoo hiyo itakuwa juni 14,mapema wiki hii kupitia mtandao wa kijamii jide naye akavunja ukimya kuwa atakuwa na weekend ndefu ambayo itaanza juni 13 kusikiliza kesi yake mahakamani,juni 14 shoo ya miaka 13,huku june 15 ikiwa siku yake ya kuzaliwa.
 
Kwa iyo mlitaka kuwe na show moja afu watu wote wa dar twende? uwanja wa taifa tu ni watu 75 elfu, sa ukumbigani utachukua watu ml 3.5?
 
Hakuna tatizo dada HEAVEN ON EARTH,ni kama taarifa tu kuwa tarehe yao ya show ya mwanzo ilifanana na ya sasa ivi pia imefanana,au umeona kuna sehemu nimelalamika dada???
 
aina shida experience and quality is the difference between jide and puppet fa.
 
Sjui nani atashinda?

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
mi tired with dis ridiculus stories.. rudisheni huko fb.
 
Option kwani tatizo liko wap??,kama maada umeona haikufai si upite tu...
 
Hii inaitwa pre mature evaluation,tatizo wabongo mnapenda sana mabishano hata pasipohitajika kubishana,sasa mambo ya ukumbi na kujaza watu yametoka wapi??,baada ya kuairishwa shoo ya jide na fa kila mtu alikuwa na shauku ya kujua mambo yatakuwaje,na kwa kuwa taarifa nimezipata kuwa wote watapiga shoo siku moja kama ilivyokuwa hawali ndo imekuwa kosa??,acheni izo bana mi naamini wote mmemaliza walau hata form four au chet so think before judging..
 
Back
Top Bottom