warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Wakati shoo ya mwana fa na lady jaydee ikiwa imearishwa ili kupisha msiba wa msanii mwenzao albert mangwair,habari mpya ni kwamba tarehe mpya ya shoo hizo imegongana tena kama ilivyokuwa mwanzo,mwana fa alikaririwa katika vyomb vya habari kuwa shoo hiyo itakuwa juni 14,mapema wiki hii kupitia mtandao wa kijamii jide naye akavunja ukimya kuwa atakuwa na weekend ndefu ambayo itaanza juni 13 kusikiliza kesi yake mahakamani,juni 14 shoo ya miaka 13,huku june 15 ikiwa siku yake ya kuzaliwa.