Hapa Joyce ni yupi na Kilia ni yupi? CONFUSED

Hapa Joyce ni yupi na Kilia ni yupi? CONFUSED

Hapo mimi nadhani Joyce ni huyo anayesukwa,na kiria ni huyo aliyesimama.
 
Habarini wataalam wa Jamii Forums.Naomba msaada wenu TV yangu ya HOMEBASE yenye Double glass na picha ya HD ready inanisumbua Sana picha inacheza cheza kama mwanga wa disco.Hali hii inanikera hasa unapotaka kuangalia movie mwanga unacheza cheza.

Wataalam naombeni msaada.
Habari!! Tuna program ya kuweka kwa kutumia flash!! Tutumie 70,000/= tukuletee
 
Back
Top Bottom