Hapa kama Mungu hajaingilia kati tunampoteza mwenzetu

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
7,926
Reaction score
17,030
Nimewaza sana,

Yaani mwanamke anapiga ngumi kama bondia kwa mwanaume ambaye hajamgusa. Kama roho wa Mungu hayupo karibu nawe, nakwambia kuna watu wanaweza gawana majengo.

Your browser is not able to display this video.
 
Hata huku Kibongo Bongo tunaweza kufikia huko ngoja mambo ya haki sawa ya akina Joyce Kiria yashike Kasi
 
Hapo wapi hahaha anaonekana kama mwanamke wa kisouth au zambia ni moto hao kwakupiga wanaume hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…