Hapa Karatu toka Disemba hakuna Decorder za Azam

Hapa Karatu toka Disemba hakuna Decorder za Azam

Mwezi wa 12 wakati nimeenda likizo,
Kuna sehemu store nikauliza wakasema vimeisha, kucheki kwa ndani naona Dish, nikamuuliza lile vipi?
Akasema nilamtu ashalipia,
Duka la pembeni nalo hivyo hivyo, lipo lakini wakadai ni la mtu, na mpk narudi juzi vipo.

Mimi nikajua ni janjaa, wanasubiri ili ofa iishe wauze kwa bei ya juu..

Baada ya kuona huu uzi ndio nashindwa kuelewa hii imekaaje?
 
House girls ni watu muhimu hasa Kwa mwanao.Msiwadharau kabisa
 
Back
Top Bottom