Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna dogo hapa kaomba vyuo vitatu na vyote vimeshatoa majina hayupo, tcu wamemwambia kua yuko admitted embu ushauri tafadhari wana jf

Ana moja ta tatu ya pcm
dogo kachana mbaya alipiga PCM, NA ANA MOJA YA TATU.
Mpango ndio huo, me mwenyewe ndio niliyemfanyia application na daily nilikuwa nachek profile yake iko pwax coz zote ni Eligible but ndo hivyo vyuo vyote alivyoomba wametoa majina ni UDOM, SAUT na ARUSHA UNIV, sasa hapo me hoiiiiii,
Mkuu unasema kweli au unatania?Itakuwaje mtu kama huyo aachwe?Bila shaka kuna tatizo lilijitokeza maana haiwezekani akose kwa ufaului hu😵ne za 3 PCM ni za kuhesabu mkubwa.