Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,587
Wanabodi, mwaka mpya 2020 umeanza tena, mbilinge mbilinge na udambwi dambwi haviishi hapa kwetu Tanzania. Msoto mwanzo mwisho.
Tuje kwenye mada:
"Hapa Kazi Tu" maana yake ni kufanya kazi kwa bidii mwanzo mwisho usiku na mchana bila kusimama, bila kupumzika na kwa uzalendo wote.
"Kazi Na Bata" maana yake kufanya kazi na baadae kujipongeza, kupunguza machungu, kula starehe baada ya kuvuja jasho jingi la msoto.
Nini kipaumbele chako?
Sent using Jamii Forums mobile app