Bora ya MTU ni yule aliye Fanya kazi ya halali kwa mikono yake 2 kwa kutoka jasho na kuitimizia familia yake mahitaji ya msingi kupitia kipato hicho cha halali kama vile kukata/kukusanya kuni polini na kuuza mjini,ukuli bandarini au kusukuma mkokoteni.Madhara ya kazi za ofisini ni kupata bp,kisukari nk.
Sent from my HUAWEI Y360-U82 using JamiiForums mobile app