HAPA KAZI TU!

pingli-nywee

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
11,923
Reaction score
13,350
Asalaam aleykum wakuu. HAPA KAZI TU! ilikuwa ni kauli nzuri sana kutoka kwa majirani zetu wapendwa. Kauli hii niliipenda sana na niliifananisha na kauli ile ya baba wa taifa la Kenya,hayati Mzee J.Kenyatta,yaani HARAAMBE! tuvute kwa pamoja. Ambayo hadi sasa hivi ndo 'motto' ya taifa letu tukufu la Kenya. Mbona mkaacha kutumia kauli hii ambayo iliashiria mwamko mpya na nguvu ya kafanya kazi kwa pamoja kama hapo awali? Je kauli hii tutaisikia tena kama tulivoisikia miezi kadhaa iliyopita? Ningependa kujua tu wakuu, shukran!
 
Kuna namna nyingi za kutafuta kiki.
Mandelaa hamna cha kiki wala nini.Hapa kazi tu nimeiona jana ikitumiwa kwenye kampeni hapa Kenya.Tena imeandikwa kwa lugha ya kimeru.Nikasema dah,ni siku nyingi tu!
 
Hapa kazi tuu bado ipo mkuu..sema inaendelea kupungua siku zinavoenda. Zamani kabila ya kauli hio ukienda taasis za kiserekali ulikua unakutana na uzembe wa kiwango cha PHD but sasa at least kuna uwajibikaji kidogo. Ofsn watu wanawahi na sio rahis kuwakuta nje ya kazi mida ta kazi. So bongo inasongo I hope kama huyu jamaa ataendelea miaka 10 ijayo tutawatimulia vumbi majirani zetu kwa mbali. HAPA KAZI TU

Sent from my TECNO L9 Plus using JamiiForums mobile app
 
Hebu kuwa muwazi mkuu unamaanisha kamalaika ketu kasikojaribiwa
 
Hapa kazi tu!

A person who says something is impossible should not interrupt the person who is doing it.
 
Hapa kazi tuu inayoendelea huko ni kumdhulumu rooney kimapenzi, jamaa amehakikisha nyeti zake zimemgusa rooney na mkono mwingine kwenye tako la waza...binadam ovyoo sana hawa
 
Hivi WAKENYA KWANINI MNAPENDA
SANA MABO YA KISHOGA

mAANA HATA BUNGE LENU LINAPENDA SANA HIZI HABARI,

Pia mana mji wenu mmoja wa pwani ndio unasifika kwa mambo haya,

Maana swala la rooney kukumbatiwa hata mataifa mengine wanafanya,

inakuaje ww mkenye unapeleka ufahamu wako kwenye mambo ya ngono,

Je ww ukikumbatiwa hivyo au vinginevyo,tukiite shoga.

Hebu kuweni wastaarabu,
 
Duh!Hii sasa tunaita kucatch mafeelings!Hehe!
 
Unatafuta kiki kwa pikipiki[emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…