pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Asalaam aleykum wakuu. HAPA KAZI TU! ilikuwa ni kauli nzuri sana kutoka kwa majirani zetu wapendwa. Kauli hii niliipenda sana na niliifananisha na kauli ile ya baba wa taifa la Kenya,hayati Mzee J.Kenyatta,yaani HARAAMBE! tuvute kwa pamoja. Ambayo hadi sasa hivi ndo 'motto' ya taifa letu tukufu la Kenya. Mbona mkaacha kutumia kauli hii ambayo iliashiria mwamko mpya na nguvu ya kafanya kazi kwa pamoja kama hapo awali? Je kauli hii tutaisikia tena kama tulivoisikia miezi kadhaa iliyopita? Ningependa kujua tu wakuu, shukran!