Magulumangu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2010
- 3,051
- 461
Mwache halafu njoo tuambie amekwambia nini ulipomuacha maana mlopoanza mapenzi yetu hukutushirikisha na kuweza kummonitor tabia zake....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Embu achana na fikra mgando...ukabila mpaka kwenye mapenzi?!Kwani kwenye kabila lake ndo hamna wasichana wenye dharau na majigambo?!Pole sana ndugu yangu.Kwanza inaonekana kuwa umeshakuteka,uko chini ya himaya yake.Maana kwa kawaida wanawake wapenda kucontrol,hivyo umeshajiingiza kwenye controling yake.Mmeishi kama mume na mke wakati hujakamilisha zoezi kama kujitambulisha na yeye kuweza kukubalika kwenu.Jaribu kumweka na dada zako au mama yako mzazi halafu usikilize comment zao.Ikiwa na wao wataona uonavyo wewe achana naye tafuta wa kaliba yako hamtaweza kuishi pamoja kwa maisha yenu yote.
Ikiwa ni mkristo usiingie mkenge kwa kujaribu ukifikiri atabadilika baadaye.Huo ndio utakuwa mwisho wa ndoto zako.USIINGIZE HURUMA kwenye suala nyeti kama hili.