TandaleOne
JF-Expert Member
- Sep 4, 2010
- 1,644
- 709
Mi nafkiri ni bora hao kuliko wanaotumia misafara na pesa za walipa kodi kutoka nyumba kuu?!
Hivi,mpaka mtu ajinadi kwa bendera ya taifa na picha ya Nyerere ndo aaminike??????Doh!Inamaanisha mtu haamini ndani ya nafsi yake kwamba anaweza kusimama peke yake na watu wakamuelewa????Doubts!!!Anguko hilo,kwa watu wanaofikiri vizuri.:violin:
Hivi Nyerere alikwapua wake za watu???Nikumbushe.:becky:
Hivi Nyerere alikwapua wake za watu???Nikumbushe.:becky:
Na hivi Nyerere alikuwa mwathirika?
Kwa mtizamo wako, Nyerere si wa kuigwa??
Mtakula sana laana kwa kukiuka maono ya Baba wa Taifa.
Wapi Lowasa? Rais mtarajiwa aliyefulia. Hakuna sabuni ya kumtakatisha. Kisa? Kusherehekea kifo cha JK Origino (Julius Kambarage). Swahiba wake kalazimisha kwenda ikulu.Matokeo yake ndiyo kiongozi wa kwanza wa ajabu anayeanguka jukwaani.
Ujeuri. Jeuri ya pesa za Wahindi. Walidharau ya Nyerere. Mpaka akathubutu kusema "CCM si mama yangu". Hiyo ni laana tosha kwa CCM ya leo na wafuasi wake.
Hawana la kujivunia. Miradi yote wanayosifia kuitekeleza ilianzishwa na kijana aliyefundwa na Nyerere - Ben Mkapa.
Sasa hivi tupo kizani. Viongozi wasanii na walafi.
Kijana ipo siku utauona ukweli na utaacha kushabikia UPUMBAVU = CCM
mbona mnatuchekesha kwa haya maswali!!!!!!!!!!!!
Hivi,mpaka mtu ajinadi kwa bendera ya taifa na picha ya Nyerere ndo aaminike??????Doh!Inamaanisha mtu haamini ndani ya nafsi yake kwamba anaweza kusimama peke yake na watu wakamuelewa????Doubts!!!Anguko hilo,kwa watu wanaofikiri vizuri.:violin:
...bora wanaotumia picha ya shujaa wetu mwalimu nyerere na bendera yetu ku symbolise utaifa kuliko Kikwete anatumia picha ya mabwana zake wamarekani ie Bush KWENYE mabango huko barabarani.....wanatushangaa sana!!.....nasikia huko BUKOBA katumia picha ya askofu malasusa ikashushwa na NEC TEHH TEH!
bora....kuliko...:unajua maana yake?
Hivi mama Maria Nyerere alishamtafutia kura Nyerere kwa gharama za Ikulu?
tuambie maana yake? MAANA KUNA MWINGINE ANAPIGA PICHA NA WATOTO AKIWAPA PEREMENDE!!
Send this message to 50 people
solution sio kujenga orphanage mkuu, ni kuboresha maisha ya watanzaniaNi wa kuigwa sana ila si kwa kujinadi kwa picha zake wakati mafao yake ya bungeni ulitumia kumnunulia kimada gari badala ya kujenga hata orphanage moja.Doh!!:becky: