Kwa mtizamo wako, Nyerere si wa kuigwa??
Mtakula sana laana kwa kukiuka maono ya Baba wa Taifa.
Wapi Lowasa? Rais mtarajiwa aliyefulia. Hakuna sabuni ya kumtakatisha. Kisa? Kusherehekea kifo cha JK Origino (Julius Kambarage). Swahiba wake kalazimisha kwenda ikulu.Matokeo yake ndiyo kiongozi wa kwanza wa ajabu anayeanguka jukwaani.
Ujeuri. Jeuri ya pesa za Wahindi. Walidharau ya Nyerere. Mpaka akathubutu kusema "CCM si mama yangu". Hiyo ni laana tosha kwa CCM ya leo na wafuasi wake.
Hawana la kujivunia. Miradi yote wanayosifia kuitekeleza ilianzishwa na kijana aliyefundwa na Nyerere - Ben Mkapa.
Sasa hivi tupo kizani. Viongozi wasanii na walafi.
Kijana ipo siku utauona ukweli na utaacha kushabikia UPUMBAVU = CCM