Hapa kuna Siri imejificha?

Hapa kuna Siri imejificha?

😂😂😂😂😂
ime bidi nicheke kwenye conclusion yako mzee ume andika shudu mixa pumbu sorry pumba
Uje nawe na mtazamo maoni yako na sio kumdis,mwamba kwa viwango hivyo 🤔
 
Muda mfupi baada ya chombo Cha Titan kupoteza mawasiliano na kupotea kabisa tunasikia habari za Wanamgambo kutaka kuvamia Moscow, hapa ndio penye maswali sana.

Kwa nini, matukio hayo yafuatane kwa karibu?

Kwa nini tukio la kupotea kwa chombo Cha TITAN linaezwa na tukio la Wagner kutaka kuivamia Urusi?

Mawasiliano kwenye chombo Cha Titan yalipotea ghafla tena kwa kasi ya ajabu, kwa nini tena kikiwa na teknolojia za juu sana za mawasiliano?

Kupotea kwa chombo Cha Titan , kunataka kufanana na kupotea ndege ya Malaysia MH370 iliyopotea 2014 , ndege ile ilikuwa na mawasiliano ya juu kabisa?

Hitler alishindwa kuifikia Moscow akiwa na jeshi la Askari wasiopungua milioni 10 alipigwa kwa nini Wagner wahisi ni jambo rahisi hivyo?

Baada ya kutafakari kwa kina juu ya hayo nimegundua Siri kubwa imejificha tena sana. Kwa sababu:

Anayeongoza kwa teknolojia za kisasa kabisa za chini, baharini na Angani ni......

Tusimchukulie poa Russia , ana Siri za kutisha sana
Hizi ndio sababu Wazungu wengi wanaamini ugali sio wa chakula cha binadamu.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Muda mfupi baada ya chombo Cha Titan kupoteza mawasiliano na kupotea kabisa tunasikia habari za Wanamgambo kutaka kuvamia Moscow, hapa ndio penye maswali sana.

Kwa nini, matukio hayo yafuatane kwa karibu?

Kwa nini tukio la kupotea kwa chombo Cha TITAN linaezwa na tukio la Wagner kutaka kuivamia Urusi?

Mawasiliano kwenye chombo Cha Titan yalipotea ghafla tena kwa kasi ya ajabu, kwa nini tena kikiwa na teknolojia za juu sana za mawasiliano?

Kupotea kwa chombo Cha Titan , kunataka kufanana na kupotea ndege ya Malaysia MH370 iliyopotea 2014 , ndege ile ilikuwa na mawasiliano ya juu kabisa?

Hitler alishindwa kuifikia Moscow akiwa na jeshi la Askari wasiopungua milioni 10 alipigwa kwa nini Wagner wahisi ni jambo rahisi hivyo?

Baada ya kutafakari kwa kina juu ya hayo nimegundua Siri kubwa imejificha tena sana. Kwa sababu:

Anayeongoza kwa teknolojia za kisasa kabisa za chini, baharini na Angani ni......

Tusimchukulie poa Russia , ana Siri za kutisha sana
Acha ujinga wewe kabla ya kuzama kwa Titan kuna boti imezama huko Greece imeua zaid ya watu 700 watu mko kutangaza hao watu 5 tu
 
Muda mfupi baada ya chombo Cha Titan kupoteza mawasiliano na kupotea kabisa tunasikia habari za Wanamgambo kutaka kuvamia Moscow, hapa ndio penye maswali sana.

Kwa nini, matukio hayo yafuatane kwa karibu?

Kwa nini tukio la kupotea kwa chombo Cha TITAN linaezwa na tukio la Wagner kutaka kuivamia Urusi?

Mawasiliano kwenye chombo Cha Titan yalipotea ghafla tena kwa kasi ya ajabu, kwa nini tena kikiwa na teknolojia za juu sana za mawasiliano?

Kupotea kwa chombo Cha Titan , kunataka kufanana na kupotea ndege ya Malaysia MH370 iliyopotea 2014 , ndege ile ilikuwa na mawasiliano ya juu kabisa?

Hitler alishindwa kuifikia Moscow akiwa na jeshi la Askari wasiopungua milioni 10 alipigwa kwa nini Wagner wahisi ni jambo rahisi hivyo?

Baada ya kutafakari kwa kina juu ya hayo nimegundua Siri kubwa imejificha tena sana. Kwa sababu:

Anayeongoza kwa teknolojia za kisasa kabisa za chini, baharini na Angani ni......

Tusimchukulie poa Russia , ana Siri za kutisha sana
Pumbavu kabisa, unatupotezea bundle tu nyoko zako.
 
Hitler alishindwa kuifikia Moscow akiwa na jeshi la Askari wasiopungua milioni 10 alipigwa kwa nini Wagner wahisi ni jambo rahisi hivyo?
Kwa Wegner huenda lingekuwa jambo rahisi. Kumbuka kuwa kumekuwa na mashambulizi mengi mjini Moscow na St. Petersburg kwa kuwa hata ndani Rusia Wegner walisambambazwa kila mahali kuimarisha usalama wa raia
 
bado haijustify upupu ulio uandika hapa yaani kupotea kwa chombo baharini unataka kuhusisha teknolojia ya urusi? kwamba walihack system ya kale kadude ama?
na iyo ishu ya hao wana mgambo uliona NATO ama Us wakitia neno lolote kwa siku ya jana? hawakua na papara kuweza kushoboka na walicho kifanya wagner maana it was a bait sasa ww mmatumbi unakuja na conclusion zako baada ya kushiba magimbi na ulanzi

Kama kawaida wabongo kujifanya wachambuzi mabobevu.

Shenzi kabisa. Unaacha kuchambua njaa ya familia yako na Taifa kwa ujumla kujifanya mchambuzi wa urusi
Haya ni makasiriko ya BAVI
Kwa Wegner huenda lingekuwa jambo rahisi. Kumbuka kuwa kumekuwa na mashambulizi mengi mjini Moscow na St. Petersburg kwa kuwa hata ndani Rusia Wegner walisambambazwa kila mahali kuimarisha usalama wa raia
Yaani Wanamgambo wawashinde Red Army, Spetnaz na vikosi vingine vya makomandoo? Hata kama ni Upro NATO lakini haiwezekani kabisa nchi yoyote duniani kuivamia Urusi kwa vita vya ardhini ikafanikiwa
 
Kale kachombo ka titan kako kabatini kremlin marehemu wanaliwa supu kwa hasira.
 
"Mawasiliano kwenye chombo Cha Titan yalipotea ghafla tena kwa kasi ya ajabu"

Sasa ni muda sahii nihame bongo..!
 
Haya ni makasiriko ya BAVI

Yaani Wanamgambo wawashinde Red Army, Spetnaz na vikosi vingine vya makomandoo? Hata kama ni Upro NATO lakini haiwezekani kabisa nchi yoyote duniani kuivamia Urusi kwa vita vya ardhini ikafanikiwa
Non spurious observer atakiri kuwa jeshi la Urusi limeshindwa na Wegner ndiiyo maana hata Putin alikimbilia mafichoni. Wewe pro Spetnaz onesha kushindwa

Muda mfupi baada ya chombo Cha Titan kupoteza mawasiliano na kupotea kabisa tunasikia habari za Wanamgambo kutaka kuvamia Moscow, hapa ndio penye maswali sana.

Kwa nini, matukio hayo yafuatane kwa karibu?

Kwa nini tukio la kupotea kwa chombo Cha TITAN linaezwa na tukio la Wagner kutaka kuivamia Urusi?

Mawasiliano kwenye chombo Cha Titan yalipotea ghafla tena kwa kasi ya ajabu, kwa nini tena kikiwa na teknolojia za juu sana za mawasiliano?

Kupotea kwa chombo Cha Titan , kunataka kufanana na kupotea ndege ya Malaysia MH370 iliyopotea 2014 , ndege ile ilikuwa na mawasiliano ya juu kabisa?

Hitler alishindwa kuifikia Moscow akiwa na jeshi la Askari wasiopungua milioni 10 alipigwa kwa nini Wagner wahisi ni jambo rahisi hivyo?

Baada ya kutafakari kwa kina juu ya hayo nimegundua Siri kubwa imejificha tena sana. Kwa sababu:

Anayeongoza kwa teknolojia za kisasa kabisa za chini, baharini na Angani ni......

Tusimchukulie poa Russia , ana Siri za kutisha sana

Sometimes uwe unaficha ujinga kama huu, so delusional damn [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom