Hapa lazima Marioo kaona utupu wa mkwe

Hapa lazima Marioo kaona utupu wa mkwe

Huyo mzazi kazi yake ni nini ?

Sio mtu anakuwa model anatangaza Lingerie unataka avae baibui !!!!

To each their own....

View attachment 2693373

Hata leo hapa wakija watu wa Imani nitawapinga kwa kuwauliza kwenye maandiko yao kama Adam; Hawa; Eva; Chausiku (no matter you wanna call them kama walivaa nguo)

By the way nguo zingekuwa part ya binadamu basi binadamu wangezaliwa na suti / shuka
Wa zamani walikuwa hawatamanishi, walikuwa wachafu wachafu, wamekomaa, hawako soft na hawakuwa na mikao tamanishi

Naomba kuwasilisha
 
Sijaona utupu hapo, nimeona structure ya tako, na kila siku hizo structure mimi naziona barabarani, Hospital, Makanisani, labda msikitini tu ndo sijaona.
Misikitini ndio utaona vizuri yanavyobanwa na Hijab, labda kama hujawahi Ingia huko
 
Wa zamani walikuwa hawatamanishi, walikuwa wachafu wachafu, wamekomaa, hawako soft na hawakuwa na mikao tamanishi

Naomba kuwasilisha
Kwahio kosa ni watu kutamanisha zaidi ya zamani ?

By the way hujasikia msemo wa in the world of the blind, the one eyed man is King ? Its all relative, kwahio kwa point yako kwenye zile nudity beach watu huwa wanabakana mwanzo mwisho ?

Au nikichukulia anachosema mleta uzi kwamba hivi viungo ni sacred...., for argument sake hata mama akimpa ziwa mtoto wake anyonye inabidi amfunge macho ili asimchungulie.....,

Ukifuatilia sana haya mambo utagundua most of our arguments zina viashiria vya hypocrisy..
 
Suala la watu kubakana umesema wewe, mimi ninachokuambia ni kuwa Wanawake hao wa zamani hawakuvaa kwa lengo la kuwatega na kuwatamanisha wanaume

Hawakuwa na sababu ya kujiremba, kunukia, kuboresha nywele, lips na ngozi ili kutuvutia

Hawakuwa na sababu ya kumkatikia Mwanaume kiuno na kumwonesha ufundi mbalimbali katika mapenzi

Waliishi Uchi kama wanyama, na mapenzi walifanya kwa lengo la kupata watoto tu
 
Mambo yake muachieni mwenyewee.
[emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom