Hapa Lissu amefeli tena

Hapa Lissu amefeli tena

Lissu alisema CHADEMA wanaenda kujifungia halafu watakuja na azimio gumu la no reform no election.

Cha ajabu wanahifungia hotel ya kifahari ya nyota 5 halafu waje na azimio gumu.

Hotelini ni sehemu ya starehe na burudani na sio sehemu ya hasira. Hotel sehemu ya kumpumzika sio sehemu ya kufikiria na kutia hasira

Nani anaetaka kufanya mambo magumu kikao kikafanyika hotel ya kifahari? Hii kikao ni cha kujipongeza kwa ushindi ili kunywa na kula .

Time will tell

Chawa wa Lissu njooni hoja kwa hoja
Nonsense.
 
Lissu kabeba matarajio makubwa sana kwa Wana mitandao. Ila ukweli ni kwamba huyu Lissu tunayemsikia Leo hatasikika tena baada ya 2025.
 
Lissu alisema CHADEMA wanaenda kujifungia halafu watakuja na azimio gumu la no reform no election.

Cha ajabu wanahifungia hotel ya kifahari ya nyota 5 halafu waje na azimio gumu.

Hotelini ni sehemu ya starehe na burudani na sio sehemu ya hasira. Hotel sehemu ya kumpumzika sio sehemu ya kufikiria na kutia hasira

Nani anaetaka kufanya mambo magumu kikao kikafanyika hotel ya kifahari? Hii kikao ni cha kujipongeza kwa ushindi ili kunywa na kula .

Time will tell

Chawa wa Lissu njooni hoja kwa hoja
Kwaiyo mbona hata nyie mlikula Bata na tukabaki kimya?
 
Lissu alisema CHADEMA wanaenda kujifungia halafu watakuja na azimio gumu la no reform no election.

Cha ajabu wanahifungia hotel ya kifahari ya nyota 5 halafu waje na azimio gumu.

Hotelini ni sehemu ya starehe na burudani na sio sehemu ya hasira. Hotel sehemu ya kumpumzika sio sehemu ya kufikiria na kutia hasira

Nani anaetaka kufanya mambo magumu kikao kikafanyika hotel ya kifahari? Hii kikao ni cha kujipongeza kwa ushindi ili kunywa na kula .

Time will tell

Chawa wa Lissu njooni hoja kwa hoja
Wameanza kula hela za chama
 
Back
Top Bottom