Hapa Lissu, Hapa Mwabukusi, Hapa Slaa

Hapa Lissu, Hapa Mwabukusi, Hapa Slaa

Dialogist

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2014
Posts
1,167
Reaction score
1,872
Wanabodi Habari Za Mchana...

Nimekaa nikatafakari kwa kina matokeo ya uchaguzi mkuu wa Chadema 2025, hasa katika ushindi wa Tundu Antipas Lissu Kwenye Nafasi Nyeti Na Ya Juu Kabisa Ya Chama, Mwenyekiti Wa Chama.

Hali hii inanipelekea kujiuliza na kuwauliza ninyi mambo kadhaa kwa mustakabali wa taifa letu. Je uwepo wa Lissu Katika nafasi hiyo na uwepo wa Mwabukusi kama mkuu wa taasisi ya umma ya sheria, na uwepo wa Dr. Slaa kama mzee wa nyaraka za siri za ndani kabisa, kutabadili mwelekeo wa siasa na maendeleo ya taifa letu?

Je, mikataba itafumuliwa upya?

Je tutarajie wabunge wengi zaidi mwaka huu kutoka upinzani kuliko miaka yote ya nyuma?

Au business as usual...

Nini matarajio yako ndugu mdau??
 
Wabunge sawa ila urais bado ni chama kilekile
 
usikariri mambo hubadilika. Nani angetarajia mbowe kushindwa?
Hehe huko hamna jipya mwisho wa siku watu watakimbilia ubeligiji kazi kwisha...........upinzani ulikuwepo CCM tu na kazi imeshaisha Dodoma
 
Back
Top Bottom