Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini yanajulikana na wanayoyafanya na giza si lazima iwe ni ukosefu wa mwanga, Kuna watu wanaua mchana kutokana na giza lililomo mioyoni mwao.Ya giza hufanyika gizani hayajulikani
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Me zamani nilikuwa nafikiri kuwa wachawi huwa ni wajingawajinga tu wawapo mashuleni, wachafuwachafu, wana mimacho myekundu na hawana huelewa wowote juu ya elimu ya magharibi. Ninachoshangaa mshana jr anaandika post za akili hadi anapunguza sifa za uchawi ambazo ukimuangalia kwa jicho pevu kama vile ana fit.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ngoja nichangie haraka isije ikachacha na hii
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Post imechacha... [emoji86] [emoji86] [emoji86]
Post limeungaaaaa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122]