Si useme tu ni udom kwa wajasi, wapi viazi na karanga za kuchemsha....
Kule nimeacha nimeokoka...duh hata huku upo? basi baadaye tukutane jukwa la siasa,jamii intelligence then kule kwenu
Kule nimeacha (----------) content deleted by snipa. ..
Ha ha ha utajijuuuu:msela:
Kule nimeacha nimeokoka...
Alienichumbia ni kiranja mkuu kule siwezi kumkimbia....duh sasa nikichoka swaga za kina nani zitaniondoa uchovu? au umemkimbia yule jamaa anayekuchumbia
Alienichumbia ni kiranja mkuu kule siwezi kumkimbia....