BUMIJA
JF-Expert Member
- Oct 19, 2011
- 5,950
- 11,295
Hapa chuo kikuu X ni kua wauzaji wa mikate na mahindi wanasema wanauza sana Booooooom linapokata.Wanasema kipindi wanachuo wakiwa na Boom hizi bizaa ni adimu,kwa majirani zangu hapo Mz--be dogo kaniambia mihogo ni inalika si mchezo,ndio maisha,dhahabu safi hupita kwe moto mkali