Hapa mnyonge tutamnyonga na haki yake hatutampa ng'o

Hapa mnyonge tutamnyonga na haki yake hatutampa ng'o

Chikenpox

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2022
Posts
784
Reaction score
1,246
Nilikuwa nikijiuliza hivi inawezekana vipi serikali iongozwe gizani na kwa wakati huohuo tunaambiwa eti unapambana na ufisadi. Unawezaje kupambana na ujambazi au ufisadi gizani. Ndo mana hata kwa nyumba tu taa zinawashwa usiku kwa nje ili jambazi au mhuni akina au akikatiza uweze kumuona na kumdunga mshale au chochote.

Sasa kipindi cha Hayati Magufuli vyombo vyote vya habari iwe magazeti, radio, tv mtandao nk vilizuiwa kuhuji chochote na kubakia vikissifia tu kwa chochote na ukikosoa tu utapotezwa kabisa au utaokotwa kwenye kiroba mf azory gwanda nk. Kumbe pesa zilikuwa zikichitwa na kukimbizwa china bila sisi kujua mana Kuna giza.

Ufisadi ulitaladadi sana awamu ya jpm ila aliweza tu kisurpress yeyote anayejaribu kufatilia ufisadi ule. Sasa ngoja tumnyonge huyu mnyonge na nadhani hastahili kupewa haki yake.
 
Sahihisha hapo kwa Azory Gwanda. Muendelezo wa sentensi haubebani na wazo la kwanza. Tulia unielewe mleta uzi.
 
Back
Top Bottom