Ana mtetea rafiki yake jaman hata kumpongeza kwa hilo
Hivi kumbe hata sisi kwa sisi tunautana Nyani eeh!
Maneno mengi afu point hakuna huwo mda ulotumia kuandika huwo utumbo wako vipi ungeutumia hata kupika ugali c ungeiva kabisaukisikia mtu kajamba alaf anakimbia ushuzi wake ndo huyu mose iyobo..tena ngoja nkuchambe uchambike kiuno bila mfupa wewe!...cha kwenda kumuita mwenzio nyani we ndo ulimuotesha mkia?hiv kabla yakuandika ule upumbavu kumtusi mwenzio ulijichungulia kwanza kwenye kioo huo uso wako kama unang'ong'a?...mbona umekosa utu na kifua cha kiume weye kunyamazia mambo!..hamorapa anakuuma kama ww ndo mkurungenzi wa wcb wakat kidampa tu...kila mtu na njia zake za kujitaftia rizk babu wee kama hana nyota wala kipaji anatumia jina la mwenziwe ili ajulikane hatochukua mda mrefu atafulia tu ndo maana hata hao viongoz wako wa wcb wako kimya buzy hawana habar nae..ila wew mcheza samba mshipa wa chuki umekusimama dede mpaka umeshindwa kujizuia waenda mtukana mwenzio wamuita nyani!..wewe uloumbwa binadam mpaka sasahv una tuzo gani ya u handsome hapa mjini..muachee babu wee walikuja watu kibao wanawaoimba kwa kiki ya kufanana na wasanii wengn ila hawakuw na vpaji wako wap sasahv..wamefulia kwaio muache mtoto wa mwanaume mwenzio ajikune anakofikia upo ziwa?..kama ni kiki hata ww unaitafta maana wakuongea angekuwa hermonize wew cjui inakuhusu nini..!.huo muda unaokaa kumtukana mwenzio ungeenda kumfumua cookie zile rasta mlizomsokota ugekuwa umefanya la maana!.mwanaume mzima hovyoo una roho nyeusi kama ngozi yako!kukaa kote wcb na kwenda kote ulaya huna mabadiliko yyote ngozi kavuu ka shuka za wakoloni..huna nuru mwanaume mda wote uso mzitoo umekutuama ka dimbwi la kambale..huo weusi sasa!weusi hauleweki na kichwa chako hiko ka yai la chemli yaan ww ndo wa ajabu na maajabu yake kama ni vizazi ya nyani bac ww ni homohabilis nyani mtembelea mikono!ila ushawah sikia mtu anakutusi hivyo?au watuona kimya hatukutoi kasoro ndo ukajiona wafanana na pesa!?na mashavu yako hayo ka bundi wakutumwa...!mtizame hapo vimacho juujuu havitulii..ka kajamba ukweni! CREDIT TO: MALKIA WA KUCHAMBA INSTA
HahahahaMoze na harmo urafiki wapi na wapi. Hamna kutetea hapo akiri tu kakosea yaishe.(wote kabla hawajapata hela walikua na sura chachu zaidi ya mbilimbi)
Hahahaaa wazee wa kariakoo hawo[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Sasa wewe mbona unaonekana tena umepanic zaid shda nn!!?
Maneno mengi afu point hakuna huwo mda ulotumia kuandika huwo utumbo wako vipi ungeutumia hata kupika ugali c ungeiva kabisa
Hahahaha
Oooh my God!!!
Ngoja nilifuatilie hiki kisa vzuri niangalie namna ya kumtetea Iyobo
Mmekuwa na tabia kama za mama DaiHahahaaa wazee wa kariakoo hawo
Keishapata wa kumteteaHahahaha
Oooh my God!!!
Ngoja nilifuatilie hiki kisa vzuri niangalie namna ya kumtetea Iyobo
Me nmeelewa kwene "kichwa kama ya la chemli" kiasi anafananaukisikia mtu kajamba alaf anakimbia ushuzi wake ndo huyu mose iyobo..tena ngoja nkuchambe uchambike kiuno bila mfupa wewe!...cha kwenda kumuita mwenzio nyani we ndo ulimuotesha mkia?hiv kabla yakuandika ule upumbavu kumtusi mwenzio ulijichungulia kwanza kwenye kioo huo uso wako kama unang'ong'a?...mbona umekosa utu na kifua cha kiume weye kunyamazia mambo!..hamorapa anakuuma kama ww ndo mkurungenzi wa wcb wakat kidampa tu...kila mtu na njia zake za kujitaftia rizk babu wee kama hana nyota wala kipaji anatumia jina la mwenziwe ili ajulikane hatochukua mda mrefu atafulia tu ndo maana hata hao viongoz wako wa wcb wako kimya buzy hawana habar nae..ila wew mcheza samba mshipa wa chuki umekusimama dede mpaka umeshindwa kujizuia waenda mtukana mwenzio wamuita nyani!..wewe uloumbwa binadam mpaka sasahv una tuzo gani ya u handsome hapa mjini..muachee babu wee walikuja watu kibao wanawaoimba kwa kiki ya kufanana na wasanii wengn ila hawakuw na vpaji wako wap sasahv..wamefulia kwaio muache mtoto wa mwanaume mwenzio ajikune anakofikia upo ziwa?..kama ni kiki hata ww unaitafta maana wakuongea angekuwa hermonize wew cjui inakuhusu nini..!.huo muda unaokaa kumtukana mwenzio ungeenda kumfumua cookie zile rasta mlizomsokota ugekuwa umefanya la maana!.mwanaume mzima hovyoo una roho nyeusi kama ngozi yako!kukaa kote wcb na kwenda kote ulaya huna mabadiliko yyote ngozi kavuu ka shuka za wakoloni..huna nuru mwanaume mda wote uso mzitoo umekutuama ka dimbwi la kambale..huo weusi sasa!weusi hauleweki na kichwa chako hiko ka yai la chemli yaan ww ndo wa ajabu na maajabu yake kama ni vizazi ya nyani bac ww ni homohabilis nyani mtembelea mikono!ila ushawah sikia mtu anakutusi hivyo?au watuona kimya hatukutoi kasoro ndo ukajiona wafanana na pesa!?na mashavu yako hayo ka bundi wakutumwa...!mtizame hapo vimacho juujuu havitulii..ka kajamba ukweni! CREDIT TO: MALKIA WA KUCHAMBA INSTA
ushamskia akiongea utapiga baoHuyo mose muda wote anashinda na wanawake na yeye amekua na tabia za kike
HahahahahaKeishapata wa kumteteaView attachment 465008
Sasa mtu anaishi kwa kukata viuno mbele ya wanaume wenzake (sio kosa) ila tunapata wasi anapoanza kujisifia sura na kukandia wanaume wenzake eti wabaya! Hizi tabia zitatumalizia vijana.
Hahahahaha
Akiiiii
Ila naye alivo mtetea sasa ni shda hiyo
Uvamiziukisikia mtu kajamba alaf anakimbia ushuzi wake ndo huyu mose iyobo..tena ngoja nkuchambe uchambike kiuno bila mfupa wewe!...cha kwenda kumuita mwenzio nyani we ndo ulimuotesha mkia?hiv kabla yakuandika ule upumbavu kumtusi mwenzio ulijichungulia kwanza kwenye kioo huo uso wako kama unang'ong'a?...mbona umekosa utu na kifua cha kiume weye kunyamazia mambo!..hamorapa anakuuma kama ww ndo mkurungenzi wa wcb wakat kidampa tu...kila mtu na njia zake za kujitaftia rizk babu wee kama hana nyota wala kipaji anatumia jina la mwenziwe ili ajulikane hatochukua mda mrefu atafulia tu ndo maana hata hao viongoz wako wa wcb wako kimya buzy hawana habar nae..ila wew mcheza samba mshipa wa chuki umekusimama dede mpaka umeshindwa kujizuia waenda mtukana mwenzio wamuita nyani!..wewe uloumbwa binadam mpaka sasahv una tuzo gani ya u handsome hapa mjini..muachee babu wee walikuja watu kibao wanawaoimba kwa kiki ya kufanana na wasanii wengn ila hawakuw na vpaji wako wap sasahv..wamefulia kwaio muache mtoto wa mwanaume mwenzio ajikune anakofikia upo ziwa?..kama ni kiki hata ww unaitafta maana wakuongea angekuwa hermonize wew cjui inakuhusu nini..!.huo muda unaokaa kumtukana mwenzio ungeenda kumfumua cookie zile rasta mlizomsokota ugekuwa umefanya la maana!.mwanaume mzima hovyoo una roho nyeusi kama ngozi yako!kukaa kote wcb na kwenda kote ulaya huna mabadiliko yyote ngozi kavuu ka shuka za wakoloni..huna nuru mwanaume mda wote uso mzitoo umekutuama ka dimbwi la kambale..huo weusi sasa!weusi hauleweki na kichwa chako hiko ka yai la chemli yaan ww ndo wa ajabu na maajabu yake kama ni vizazi ya nyani bac ww ni homohabilis nyani mtembelea mikono!ila ushawah sikia mtu anakutusi hivyo?au watuona kimya hatukutoi kasoro ndo ukajiona wafanana na pesa!?na mashavu yako hayo ka bundi wakutumwa...!mtizame hapo vimacho juujuu havitulii..ka kajamba ukweni! CREDIT TO: MALKIA WA KUCHAMBA INSTA
Ndio mwanzo wa kuliwa kiboga huo,mwanaume kujisifia uzuri si jambo la kawaidaSasa mtu anaishi kwa kukata viuno mbele ya wanaume wenzake (sio kosa) ila tunapata wasi anapoanza kujisifia sura na kukandia wanaume wenzake eti wabaya! Hizi tabia zitatumalizia vijana.