Hapa Moze Iyobo umezingua kwa kumuita binadamu mwenzio nyani

ukisikia mtu kajamba alaf anakimbia ushuzi wake ndo huyu mose iyobo..tena ngoja nkuchambe uchambike kiuno bila mfupa wewe!...cha kwenda kumuita mwenzio nyani we ndo ulimuotesha mkia?hiv kabla yakuandika ule upumbavu kumtusi mwenzio ulijichungulia kwanza kwenye kioo huo uso wako kama unang'ong'a?...mbona umekosa utu na kifua cha kiume weye kunyamazia mambo!..hamorapa anakuuma kama ww ndo mkurungenzi wa wcb wakat kidampa tu...kila mtu na njia zake za kujitaftia rizk babu wee kama hana nyota wala kipaji anatumia jina la mwenziwe ili ajulikane hatochukua mda mrefu atafulia tu ndo maana hata hao viongoz wako wa wcb wako kimya buzy hawana habar nae..ila wew mcheza samba mshipa wa chuki umekusimama dede mpaka umeshindwa kujizuia waenda mtukana mwenzio wamuita nyani!..wewe uloumbwa binadam mpaka sasahv una tuzo gani ya u handsome hapa mjini..muachee babu wee walikuja watu kibao wanawaoimba kwa kiki ya kufanana na wasanii wengn ila hawakuw na vpaji wako wap sasahv..wamefulia kwaio muache mtoto wa mwanaume mwenzio ajikune anakofikia upo ziwa?..kama ni kiki hata ww unaitafta maana wakuongea angekuwa hermonize wew cjui inakuhusu nini..!.huo muda unaokaa kumtukana mwenzio ungeenda kumfumua cookie zile rasta mlizomsokota ugekuwa umefanya la maana!.mwanaume mzima hovyoo una roho nyeusi kama ngozi yako!kukaa kote wcb na kwenda kote ulaya huna mabadiliko yyote ngozi kavuu ka shuka za wakoloni..huna nuru mwanaume mda wote uso mzitoo umekutuama ka dimbwi la kambale..huo weusi sasa!weusi hauleweki na kichwa chako hiko ka yai la chemli yaan ww ndo wa ajabu na maajabu yake kama ni vizazi ya nyani bac ww ni homohabilis nyani mtembelea mikono!ila ushawah sikia mtu anakutusi hivyo?au watuona kimya hatukutoi kasoro ndo ukajiona wafanana na pesa!?na mashavu yako hayo ka bundi wakutumwa...!mtizame hapo vimacho juujuu havitulii..ka kajamba ukweni! CREDIT TO: MALKIA WA KUCHAMBA INSTA
Maneno mengi afu point hakuna huwo mda ulotumia kuandika huwo utumbo wako vipi ungeutumia hata kupika ugali c ungeiva kabisa
 
Moze na harmo urafiki wapi na wapi. Hamna kutetea hapo akiri tu kakosea yaishe.(wote kabla hawajapata hela walikua na sura chachu zaidi ya mbilimbi)
Hahahaha
Oooh my God!!!

Ngoja nilifuatilie hiki kisa vzuri niangalie namna ya kumtetea Iyobo
 
Keishapata wa kumtetea
16122532_728651900646348_4963333416360607744_n.jpg
 
ukisikia mtu kajamba alaf anakimbia ushuzi wake ndo huyu mose iyobo..tena ngoja nkuchambe uchambike kiuno bila mfupa wewe!...cha kwenda kumuita mwenzio nyani we ndo ulimuotesha mkia?hiv kabla yakuandika ule upumbavu kumtusi mwenzio ulijichungulia kwanza kwenye kioo huo uso wako kama unang'ong'a?...mbona umekosa utu na kifua cha kiume weye kunyamazia mambo!..hamorapa anakuuma kama ww ndo mkurungenzi wa wcb wakat kidampa tu...kila mtu na njia zake za kujitaftia rizk babu wee kama hana nyota wala kipaji anatumia jina la mwenziwe ili ajulikane hatochukua mda mrefu atafulia tu ndo maana hata hao viongoz wako wa wcb wako kimya buzy hawana habar nae..ila wew mcheza samba mshipa wa chuki umekusimama dede mpaka umeshindwa kujizuia waenda mtukana mwenzio wamuita nyani!..wewe uloumbwa binadam mpaka sasahv una tuzo gani ya u handsome hapa mjini..muachee babu wee walikuja watu kibao wanawaoimba kwa kiki ya kufanana na wasanii wengn ila hawakuw na vpaji wako wap sasahv..wamefulia kwaio muache mtoto wa mwanaume mwenzio ajikune anakofikia upo ziwa?..kama ni kiki hata ww unaitafta maana wakuongea angekuwa hermonize wew cjui inakuhusu nini..!.huo muda unaokaa kumtukana mwenzio ungeenda kumfumua cookie zile rasta mlizomsokota ugekuwa umefanya la maana!.mwanaume mzima hovyoo una roho nyeusi kama ngozi yako!kukaa kote wcb na kwenda kote ulaya huna mabadiliko yyote ngozi kavuu ka shuka za wakoloni..huna nuru mwanaume mda wote uso mzitoo umekutuama ka dimbwi la kambale..huo weusi sasa!weusi hauleweki na kichwa chako hiko ka yai la chemli yaan ww ndo wa ajabu na maajabu yake kama ni vizazi ya nyani bac ww ni homohabilis nyani mtembelea mikono!ila ushawah sikia mtu anakutusi hivyo?au watuona kimya hatukutoi kasoro ndo ukajiona wafanana na pesa!?na mashavu yako hayo ka bundi wakutumwa...!mtizame hapo vimacho juujuu havitulii..ka kajamba ukweni! CREDIT TO: MALKIA WA KUCHAMBA INSTA
Me nmeelewa kwene "kichwa kama ya la chemli" kiasi anafanana
 
Kosa kubwa sana ulaya unafungwa kumuita binadamu mwenzio sokwe au nyani wazungu ndowalikuwa na tabia hizi za kishenzi ila Nina mashaka na huyu jamaa anaweza kuwa ni pilau hamonaiz anajipigia iweje ammaindi mtu asiyeusikanae kama anagombania bwana vile mwanaume mzima mi ndomana hawa wcb siwapendi kabisa.mtu kujifananisha na mtu maarufu ni jambo la kawaida kabisa tatizo kujiskia na ushamba mwingi
 
ukisikia mtu kajamba alaf anakimbia ushuzi wake ndo huyu mose iyobo..tena ngoja nkuchambe uchambike kiuno bila mfupa wewe!...cha kwenda kumuita mwenzio nyani we ndo ulimuotesha mkia?hiv kabla yakuandika ule upumbavu kumtusi mwenzio ulijichungulia kwanza kwenye kioo huo uso wako kama unang'ong'a?...mbona umekosa utu na kifua cha kiume weye kunyamazia mambo!..hamorapa anakuuma kama ww ndo mkurungenzi wa wcb wakat kidampa tu...kila mtu na njia zake za kujitaftia rizk babu wee kama hana nyota wala kipaji anatumia jina la mwenziwe ili ajulikane hatochukua mda mrefu atafulia tu ndo maana hata hao viongoz wako wa wcb wako kimya buzy hawana habar nae..ila wew mcheza samba mshipa wa chuki umekusimama dede mpaka umeshindwa kujizuia waenda mtukana mwenzio wamuita nyani!..wewe uloumbwa binadam mpaka sasahv una tuzo gani ya u handsome hapa mjini..muachee babu wee walikuja watu kibao wanawaoimba kwa kiki ya kufanana na wasanii wengn ila hawakuw na vpaji wako wap sasahv..wamefulia kwaio muache mtoto wa mwanaume mwenzio ajikune anakofikia upo ziwa?..kama ni kiki hata ww unaitafta maana wakuongea angekuwa hermonize wew cjui inakuhusu nini..!.huo muda unaokaa kumtukana mwenzio ungeenda kumfumua cookie zile rasta mlizomsokota ugekuwa umefanya la maana!.mwanaume mzima hovyoo una roho nyeusi kama ngozi yako!kukaa kote wcb na kwenda kote ulaya huna mabadiliko yyote ngozi kavuu ka shuka za wakoloni..huna nuru mwanaume mda wote uso mzitoo umekutuama ka dimbwi la kambale..huo weusi sasa!weusi hauleweki na kichwa chako hiko ka yai la chemli yaan ww ndo wa ajabu na maajabu yake kama ni vizazi ya nyani bac ww ni homohabilis nyani mtembelea mikono!ila ushawah sikia mtu anakutusi hivyo?au watuona kimya hatukutoi kasoro ndo ukajiona wafanana na pesa!?na mashavu yako hayo ka bundi wakutumwa...!mtizame hapo vimacho juujuu havitulii..ka kajamba ukweni! CREDIT TO: MALKIA WA KUCHAMBA INSTA
Uvamizi
 
Namkubali sana Iyobo lakini kwa alichokifanya sio poa kabisa, hivi ina maana hakuwaza kabisa feelings za Harmorapa akisikia kafananishwa na nyani? Sasa yeye Iyobo huo uzuri anaouringia kautengeneza yeye? Sifa zote ni zake Mungu na kila kiumbe ameumbwa kwa kusudio maalum, ukiona mtu hakuvutii jua hukuumbiwa wewe ana wake tu aliyekusudiwa. No matter how u are,everyone has someone who will treasure.
 
Sasa mtu anaishi kwa kukata viuno mbele ya wanaume wenzake (sio kosa) ila tunapata wasi anapoanza kujisifia sura na kukandia wanaume wenzake eti wabaya! Hizi tabia zitatumalizia vijana.
Ndio mwanzo wa kuliwa kiboga huo,mwanaume kujisifia uzuri si jambo la kawaida
 
Wamuache harmorapa wetu....hivi unadhani wazazi wetu wangepewa option ya kuchagua sura za watoto wao unadhani kuna ambaye angekuwa alivyo..... Hapa mosee kazingua
 
Back
Top Bottom