Hapa Moze Iyobo umezingua kwa kumuita binadamu mwenzio nyani

Mwanaume unaishi kwa kukata mauno

Afanalek
Aunt Wafwaaa
 
Wadada wa JF wale munaotaka pesa kijana wenu Huyo kashauza Ng`ombe zake anayemyaka aje PM[emoji13] hamorapa
 
Nashukru hata yangu umeyaongea pole zake kidume mwenzangu...!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] duuu!!
 
Nchi yetu haina ubaguzi ndo maana tunae hapa nchini atarudi kwao asituletee ujinga wa kibaguzi hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…