karume kenge
JF-Expert Member
- Mar 9, 2016
- 568
- 421
We unaakili kweli?Heheheh ila kwel jamaa kafanana sana na nyani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We unaakili kweli?Heheheh ila kwel jamaa kafanana sana na nyani
Kweli mkuu ,we angalia MTU kama diamond kafunguliwa mapeg kibao wanamtukana yeye na familia yake hadi kale katoto make tiffa hakuna anaejaliNa hii story imechukua headline coz aliyesema ivo na member wa wcb la sivyo isingekuwa talk of the town
Sijawahi kusikia Hawa wasanii wakilalamika kutokana izi aka zao
Diamond--simba
Blue byser--simba
Dudu baya--mamba
Shetta--mamba
So mbona moze kumfananisha harmorapa na nyani imekuwa headline sana, so mnataka kunambia kuwa sokwe yeye hatakiwi kufananishwa na binadam au yeye cyo mnyama maana wasanii niliowataja apo juu sijawai sikia ata siku moja wakilaumu kufananishwa na hao wanyama
hata mimi mkuu ......Mi sishangai mtu akiniita nyani
Kwani mate hutemwa juu jombaaa???dhambi ya kukufuru ni mbaya jombaa tema mate chini...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] pointSasa mtu anaishi kwa kukata viuno mbele ya wanaume wenzake (sio kosa) ila tunapata wasi anapoanza kujisifia sura na kukandia wanaume wenzake eti wabaya! Hizi tabia zitatumalizia vijana.
Apo sasaKwanza ungerekebisha hapo kusema 'tumezoea wazungu ndio huwaita Waafrica Nyani'...ni Wazungu wangapi umeshawasikia? lazima uamini kuwa wapo hao Wazungu wengi tu wanaojali utu labda kuliko hata ndugu na jirani zako hapo kijini kwako, hivyo sio busara kuwaweka wote kwenye kapu moja.
Na kwa kuitwa huko Nyani hivi mmeshawahi kubadilika kweli kuwa Nyani? nadhani kwa kukuza mambo ndio mnawapa nguvu wanaopenda kukejeli waendelee kuwakejeli.
Sasa hapa tunamchukia anayemuita mwingine Nyani au tunamchukia huyu mnyama Nyani mwenyewe? kwani nimeona wapo wengi tu wanaojiita majina ya Wanyama kama Simba, Mamba, Chui, Faru au Mnyama..huyu Nyani au Sokwe ana mkosi gani?
Nilifikiri macho yangu hali hiyo ana hela je ingekuwa anatembeza nguo mji mzima angefananaje? Inabidi huyo Iyobo akue hata yeye hana tofauti na nyani.Mbona wanafanana! kwa hiyo wote ni nyani?
MIMI NAMTETEA KABISA KABISA!Hahahaha
Oooh my God!!!
Ngoja nilifuatilie hiki kisa vzuri niangalie namna ya kumtetea Iyobo
HAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAPO PA HAWA WCB SIWAPENDI KABISA NDO KWENYE TATIZO!Kosa kubwa sana ulaya unafungwa kumuita binadamu mwenzio sokwe au nyani wazungu ndowalikuwa na tabia hizi za kishenzi ila Nina mashaka na huyu jamaa anaweza kuwa ni pilau hamonaiz anajipigia iweje ammaindi mtu asiyeusikanae kama anagombania bwana vile mwanaume mzima mi ndomana hawa wcb siwapendi kabisa.mtu kujifananisha na mtu maarufu ni jambo la kawaida kabisa tatizo kujiskia na ushamba mwingi
Kwa hiyo nyani ni unamfananisha na mavi cyoIkitokea mtu akakupa a.k.a "keki" lazima uchekelee lakini huyo huyo mtu aje akupe a.k.a "mavi"(zile action za akina jet lee,chuck noris lazima utazirusha tu)
Kwa hiyo nyani ni unamfananisha na mavi cyo
Bora ajiite kuliko kuitwa huoni kunatofautiSijawahi kusikia Hawa wasanii wakilalamika kutokana izi aka zao
Diamond--simba
Blue byser--simba
Dudu baya--mamba
Shetta--mamba
So mbona moze kumfananisha harmorapa na nyani imekuwa headline sana, so mnataka kunambia kuwa sokwe yeye hatakiwi kufananishwa na binadam au yeye cyo mnyama maana wasanii niliowataja apo juu sijawai sikia ata siku moja wakilaumu kufananishwa na hao wanyama
"Wanataniana" ulichokiandika una maanisha au..?ni kama wanataniana au?
AU KWA KUWA NI WCB?
mi nikikwita nyau wewe ndo the best of my friends!
siitagi mtu nyau kimasikhara sikhara!
yani yule rafiki namfeel kabisa toka moyoni mi ndo namwita nyau!
au sijaelewa hapa!
NAONA LIMEKUUUUUUUUUUUUUUUZWA!