Hapa Moze Iyobo umezingua kwa kumuita binadamu mwenzio nyani

Hapa Moze Iyobo umezingua kwa kumuita binadamu mwenzio nyani

Hapo sasa anajishuku kweli
hahahahah Harmo Rappa ameanza kuwasumbua hahaha yani hivi Mose iyobo yeye amejiangalia?
Hivi mwanaume mzima unafanya vile tena kwa mwanaume mwenzako? aisee huyu jamaa kanishangaza aisee
Hivi yeye ndio ana sura nzuri?
 
Kweli kabisa kakosea kumuweka malaika asiyejua chochote(cookie mzuri basi tu wenye wivu wanampondea kuumiza wazazi wake)

Hahaa ila ushilawadu mtamu,unapunguza stress
Mtu ambaye huwa ana ingiza watoto kwenye ugpmvi wa wazazi namuonaga ana roho mbaya kama muuaji
She z just a kid, amuache tuu


Duuh alafi sja zoea kujadili habari za kishilawadu ila hapo kazingua
 
Huu sijui ni ushamba au ni nini sasa mwanaume unaanzaje kumuita mwenzako Nyani!!!! sasa huyo alieitwa nyani akienda mahakamani kwa kudhalilishwa mitandoni hawezi kupata haki yake kweli!!! watu wengine bwana.
 
Kweli kabisa kakosea kumuweka malaika asiyejua chochote(cookie mzuri basi tu wenye wivu wanampondea kuumiza wazazi wake)

Hahaa ila ushilawadu mtamu,unapunguza stress
Yaan watoto hasa wadogo siyo po
Cookie angekuwa kama le mutuz ningesema alikuwa sawa.

Shilawadu zina wataalam wake mi nimevamia tu
 
Nichukue wasaa huu kupinga hatua ya mkata viuno wa WCB kwa kitendo chake cha ubaguzi.Tumezoea wazungu ndiyo huwaita waafrica nyani kwakuwa ni wabaguzi wa rangi!

Sasa sisi waafirica tena weusi kutoka nchi moja tunaanzaje kubaguana??hi haikubaliki nawaomba BASATA wamfungie huyo Moses Iyobo kwa kitendo chake cha kibaguzi kwa kumuita Harmorappa Nyani hakikubaliki na Dunia nzima inapinga ubaguzi.

Tunaomba Waziri mwenye dhamana achukue hatua.
moseeee.jpg
 
Dogo aende akafungue kesi mahakamani jambo baya kabisa la kumuita binadamu mwenzio nyani hawa wcb hawapendi kabisa kuona wasanii wengine wakitoka wanapenda wabaki wao tu
 
Sasa mbona wanafana au ndio nyani haoni kundule.
Huyo Mose bora tu angekaa kimya kuliko kuonyesha upumbavu wake hadharani.
 
Back
Top Bottom