Hapa Moze Iyobo umezingua kwa kumuita binadamu mwenzio nyani

Nichukue wasaa huu kupinga hatua ya mkata viuno wa WCB kwa kitendo chake cha ubaguzi.
Tumezoea wazungu ndiyo huwaita waafrica nyani kwakuwa ni wabaguzi wa rangi!Sasa sisi waafirica tena weusi kutoka nchi moja tunaanzaje kubaguana??hi haikubaliki nawaomba BASATA wamfungie huyo Moses Iyobo kwa kitendo chake cha kibaguzi kwa kumuita Harmorappa Nyani hakikubaliki na Dunia nzima ina pinga ubaguzi.Tunaomba Waziri mwenye dhamana achukue hatua.
387069fa76ec163a3b02d1aee3fa0c6b.jpg
Mwembe wenye dodo nzuri ndio hupigwa mawe mengi
 
Yaan watoto hasa wadogo siyo po
Cookie angekuwa kama le mutuz ningesema alikuwa sawa.

Shilawadu zina wataalam wake mi nimevamia tu
Siku zote anayetaka kukukasirisha anachagua kile unachokipenda haswa.

Usitukane wengine ili mtoto wako unayempenda na yeye asitukanwe.
 
ukisikia mtu kajamba alaf anakimbia ushuzi wake ndo huyu mose iyobo..tena ngoja nkuchambe uchambike kiuno bila mfupa wewe!...cha kwenda kumuita mwenzio nyani we ndo ulimuotesha mkia?hiv kabla yakuandika ule upumbavu kumtusi mwenzio ulijichungulia kwanza kwenye kioo huo uso wako kama unang'ong'a?...mbona umekosa utu na kifua cha kiume weye kunyamazia mambo!..hamorapa anakuuma kama ww ndo mkurungenzi wa wcb wakat kidampa tu...kila mtu na njia zake za kujitaftia rizk babu wee kama hana nyota wala kipaji anatumia jina la mwenziwe ili ajulikane hatochukua mda mrefu atafulia tu ndo maana hata hao viongoz wako wa wcb wako kimya buzy hawana habar nae..ila wew mcheza samba mshipa wa chuki umekusimama dede mpaka umeshindwa kujizuia waenda mtukana mwenzio wamuita nyani!..wewe uloumbwa binadam mpaka sasahv una tuzo gani ya u handsome hapa mjini..muachee babu wee walikuja watu kibao wanawaoimba kwa kiki ya kufanana na wasanii wengn ila hawakuw na vpaji wako wap sasahv..wamefulia kwaio muache mtoto wa mwanaume mwenzio ajikune anakofikia upo ziwa?..kama ni kiki hata ww unaitafta maana wakuongea angekuwa hermonize wew cjui inakuhusu nini..!.huo muda unaokaa kumtukana mwenzio ungeenda kumfumua cookie zile rasta mlizomsokota ugekuwa umefanya la maana!.mwanaume mzima hovyoo una roho nyeusi kama ngozi yako!kukaa kote wcb na kwenda kote ulaya huna mabadiliko yyote ngozi kavuu ka shuka za wakoloni..huna nuru mwanaume mda wote uso mzitoo umekutuama ka dimbwi la kambale..huo weusi sasa!weusi hauleweki na kichwa chako hiko ka yai la chemli yaan ww ndo wa ajabu na maajabu yake kama ni vizazi ya nyani bac ww ni homohabilis nyani mtembelea mikono!ila ushawah sikia mtu anakutusi hivyo?au watuona kimya hatukutoi kasoro ndo ukajiona wafanana na pesa!?na mashavu yako hayo ka bundi wakutumwa...!mtizame hapo vimacho juujuu havitulii..ka kajamba ukweni! CREDIT TO: MALKIA WA KUCHAMBA INSTA
Duuuuh hiki nikichambo cha 5G!

Mimi nikikuudhi Bora unitumie namba unayotumia tigo PESA Tumalizane!
 
Acheni ujinga nyie ndo wabaguzi wa wanyama. Mbona diamond anajiita simba? Kwan simba na nyani si wanyama wote au??
 
Angeitwa simba msingeandama lkn kafananishwa na nyani wote mnaandamana km wanawake wanadai haki zao.....nyani c nae ni mnyama kama wanyama wengne au ana unique gn unaomtofautisha na hawo wengne kama tembo simba and the rest
 
Sijawahi kusikia Hawa wasanii wakilalamika kutokana izi aka zao
Diamond--simba
Blue byser--simba
Dudu baya--mamba
Shetta--mamba

So mbona moze kumfananisha harmorapa na nyani imekuwa headline sana, so mnataka kunambia kuwa sokwe yeye hatakiwi kufananishwa na binadam au yeye cyo mnyama maana wasanii niliowataja apo juu sijawai sikia ata siku moja wakilaumu kufananishwa na hao wanyama
 
ukisikia mtu kajamba alaf anakimbia ushuzi wake ndo huyu mose iyobo..tena ngoja nkuchambe uchambike kiuno bila mfupa wewe!...cha kwenda kumuita mwenzio nyani we ndo ulimuotesha mkia?hiv kabla yakuandika ule upumbavu kumtusi mwenzio ulijichungulia kwanza kwenye kioo huo uso wako kama unang'ong'a?...mbona umekosa utu na kifua cha kiume weye kunyamazia mambo!..hamorapa anakuuma kama ww ndo mkurungenzi wa wcb wakat kidampa tu...kila mtu na njia zake za kujitaftia rizk babu wee kama hana nyota wala kipaji anatumia jina la mwenziwe ili ajulikane hatochukua mda mrefu atafulia tu ndo maana hata hao viongoz wako wa wcb wako kimya buzy hawana habar nae..ila wew mcheza samba mshipa wa chuki umekusimama dede mpaka umeshindwa kujizuia waenda mtukana mwenzio wamuita nyani!..wewe uloumbwa binadam mpaka sasahv una tuzo gani ya u handsome hapa mjini..muachee babu wee walikuja watu kibao wanawaoimba kwa kiki ya kufanana na wasanii wengn ila hawakuw na vpaji wako wap sasahv..wamefulia kwaio muache mtoto wa mwanaume mwenzio ajikune anakofikia upo ziwa?..kama ni kiki hata ww unaitafta maana wakuongea angekuwa hermonize wew cjui inakuhusu nini..!.huo muda unaokaa kumtukana mwenzio ungeenda kumfumua cookie zile rasta mlizomsokota ugekuwa umefanya la maana!.mwanaume mzima hovyoo una roho nyeusi kama ngozi yako!kukaa kote wcb na kwenda kote ulaya huna mabadiliko yyote ngozi kavuu ka shuka za wakoloni..huna nuru mwanaume mda wote uso mzitoo umekutuama ka dimbwi la kambale..huo weusi sasa!weusi hauleweki na kichwa chako hiko ka yai la chemli yaan ww ndo wa ajabu na maajabu yake kama ni vizazi ya nyani bac ww ni homohabilis nyani mtembelea mikono!ila ushawah sikia mtu anakutusi hivyo?au watuona kimya hatukutoi kasoro ndo ukajiona wafanana na pesa!?na mashavu yako hayo ka bundi wakutumwa...!mtizame hapo vimacho juujuu havitulii..ka kajamba ukweni! CREDIT TO: MALKIA WA KUCHAMBA INSTA
Eti kichwa kama yai la chemli haaahaa watu mna maneno sana
 
Dogo aende akafungue kesi mahakamani jambo baya kabisa la kumuita binadamu mwenzio nyani hawa wcb hawapendi kabisa kuona wasanii wengine wakitoka wanapenda wabaki wao tu
We we nae hamnazo sasa hapo WCB wanahusikaje kwa maoni ya MTU binafsi? Uyo iyobo wala sio muimbaji kwanza.
Acha Wivu
 
Back
Top Bottom