Nimkimbilie nani
JF-Expert Member
- Nov 23, 2016
- 5,996
- 6,290
Mi sishangai mtu akiniita nyani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwembe wenye dodo nzuri ndio hupigwa mawe mengiNichukue wasaa huu kupinga hatua ya mkata viuno wa WCB kwa kitendo chake cha ubaguzi.
Tumezoea wazungu ndiyo huwaita waafrica nyani kwakuwa ni wabaguzi wa rangi!Sasa sisi waafirica tena weusi kutoka nchi moja tunaanzaje kubaguana??hi haikubaliki nawaomba BASATA wamfungie huyo Moses Iyobo kwa kitendo chake cha kibaguzi kwa kumuita Harmorappa Nyani hakikubaliki na Dunia nzima ina pinga ubaguzi.Tunaomba Waziri mwenye dhamana achukue hatua.
![]()
Siku zote anayetaka kukukasirisha anachagua kile unachokipenda haswa.Yaan watoto hasa wadogo siyo po
Cookie angekuwa kama le mutuz ningesema alikuwa sawa.
Shilawadu zina wataalam wake mi nimevamia tu
Duuuuh hiki nikichambo cha 5G!ukisikia mtu kajamba alaf anakimbia ushuzi wake ndo huyu mose iyobo..tena ngoja nkuchambe uchambike kiuno bila mfupa wewe!...cha kwenda kumuita mwenzio nyani we ndo ulimuotesha mkia?hiv kabla yakuandika ule upumbavu kumtusi mwenzio ulijichungulia kwanza kwenye kioo huo uso wako kama unang'ong'a?...mbona umekosa utu na kifua cha kiume weye kunyamazia mambo!..hamorapa anakuuma kama ww ndo mkurungenzi wa wcb wakat kidampa tu...kila mtu na njia zake za kujitaftia rizk babu wee kama hana nyota wala kipaji anatumia jina la mwenziwe ili ajulikane hatochukua mda mrefu atafulia tu ndo maana hata hao viongoz wako wa wcb wako kimya buzy hawana habar nae..ila wew mcheza samba mshipa wa chuki umekusimama dede mpaka umeshindwa kujizuia waenda mtukana mwenzio wamuita nyani!..wewe uloumbwa binadam mpaka sasahv una tuzo gani ya u handsome hapa mjini..muachee babu wee walikuja watu kibao wanawaoimba kwa kiki ya kufanana na wasanii wengn ila hawakuw na vpaji wako wap sasahv..wamefulia kwaio muache mtoto wa mwanaume mwenzio ajikune anakofikia upo ziwa?..kama ni kiki hata ww unaitafta maana wakuongea angekuwa hermonize wew cjui inakuhusu nini..!.huo muda unaokaa kumtukana mwenzio ungeenda kumfumua cookie zile rasta mlizomsokota ugekuwa umefanya la maana!.mwanaume mzima hovyoo una roho nyeusi kama ngozi yako!kukaa kote wcb na kwenda kote ulaya huna mabadiliko yyote ngozi kavuu ka shuka za wakoloni..huna nuru mwanaume mda wote uso mzitoo umekutuama ka dimbwi la kambale..huo weusi sasa!weusi hauleweki na kichwa chako hiko ka yai la chemli yaan ww ndo wa ajabu na maajabu yake kama ni vizazi ya nyani bac ww ni homohabilis nyani mtembelea mikono!ila ushawah sikia mtu anakutusi hivyo?au watuona kimya hatukutoi kasoro ndo ukajiona wafanana na pesa!?na mashavu yako hayo ka bundi wakutumwa...!mtizame hapo vimacho juujuu havitulii..ka kajamba ukweni! CREDIT TO: MALKIA WA KUCHAMBA INSTA
Hujafa hujaumbika......una watoto?Heheheh ila kwel jamaa kafanana sana na nyani
Duuuuh hiki nikichambo cha 5G!
Mimi nikikuudhi Bora unitumie namba unayotumia tigo PESA Tumalizane!
Aunt na iyobo ndio sokwe kama asemavyoNani sokwe sasa ?harmorapa aliyefanana na harmonize au
Ila mama ake nae hazimo check alivyopanicYaan watoto hasa wadogo siyo po
Cookie angekuwa kama le mutuz ningesema alikuwa sawa.
Shilawadu zina wataalam wake mi nimevamia tu
Eti kichwa kama yai la chemli haaahaa watu mna maneno sanaukisikia mtu kajamba alaf anakimbia ushuzi wake ndo huyu mose iyobo..tena ngoja nkuchambe uchambike kiuno bila mfupa wewe!...cha kwenda kumuita mwenzio nyani we ndo ulimuotesha mkia?hiv kabla yakuandika ule upumbavu kumtusi mwenzio ulijichungulia kwanza kwenye kioo huo uso wako kama unang'ong'a?...mbona umekosa utu na kifua cha kiume weye kunyamazia mambo!..hamorapa anakuuma kama ww ndo mkurungenzi wa wcb wakat kidampa tu...kila mtu na njia zake za kujitaftia rizk babu wee kama hana nyota wala kipaji anatumia jina la mwenziwe ili ajulikane hatochukua mda mrefu atafulia tu ndo maana hata hao viongoz wako wa wcb wako kimya buzy hawana habar nae..ila wew mcheza samba mshipa wa chuki umekusimama dede mpaka umeshindwa kujizuia waenda mtukana mwenzio wamuita nyani!..wewe uloumbwa binadam mpaka sasahv una tuzo gani ya u handsome hapa mjini..muachee babu wee walikuja watu kibao wanawaoimba kwa kiki ya kufanana na wasanii wengn ila hawakuw na vpaji wako wap sasahv..wamefulia kwaio muache mtoto wa mwanaume mwenzio ajikune anakofikia upo ziwa?..kama ni kiki hata ww unaitafta maana wakuongea angekuwa hermonize wew cjui inakuhusu nini..!.huo muda unaokaa kumtukana mwenzio ungeenda kumfumua cookie zile rasta mlizomsokota ugekuwa umefanya la maana!.mwanaume mzima hovyoo una roho nyeusi kama ngozi yako!kukaa kote wcb na kwenda kote ulaya huna mabadiliko yyote ngozi kavuu ka shuka za wakoloni..huna nuru mwanaume mda wote uso mzitoo umekutuama ka dimbwi la kambale..huo weusi sasa!weusi hauleweki na kichwa chako hiko ka yai la chemli yaan ww ndo wa ajabu na maajabu yake kama ni vizazi ya nyani bac ww ni homohabilis nyani mtembelea mikono!ila ushawah sikia mtu anakutusi hivyo?au watuona kimya hatukutoi kasoro ndo ukajiona wafanana na pesa!?na mashavu yako hayo ka bundi wakutumwa...!mtizame hapo vimacho juujuu havitulii..ka kajamba ukweni! CREDIT TO: MALKIA WA KUCHAMBA INSTA
We we nae hamnazo sasa hapo WCB wanahusikaje kwa maoni ya MTU binafsi? Uyo iyobo wala sio muimbaji kwanza.Dogo aende akafungue kesi mahakamani jambo baya kabisa la kumuita binadamu mwenzio nyani hawa wcb hawapendi kabisa kuona wasanii wengine wakitoka wanapenda wabaki wao tu
Na hii story imechukua headline coz aliyesema ivo na member wa wcb la sivyo isingekuwa talk of the townWe we nae hamnazo sasa hapo WCB wanahusikaje kwa maoni ya MTU binafsi? Uyo iyobo wala sio muimbaji kwanza.
Acha Wivu