Hapa Moze Iyobo umezingua kwa kumuita binadamu mwenzio nyani

Hapa Moze Iyobo umezingua kwa kumuita binadamu mwenzio nyani

Na hii story imechukua headline coz aliyesema ivo na member wa wcb la sivyo isingekuwa talk of the town
Kweli mkuu ,we angalia MTU kama diamond kafunguliwa mapeg kibao wanamtukana yeye na familia yake hadi kale katoto make tiffa hakuna anaejali
Leo ndo wanajifanya kumuonea huruma huyu dogo kila MTU anajifanya mwema tens kunawengine humu humu wanamuita NDOMO , leo wanajifanya wanamjua mungu
 
Ikitokea mtu akakupa a.k.a "keki" lazima uchekelee lakini huyo huyo mtu aje akupe a.k.a "mavi"(zile action za akina jet lee,chuck noris lazima utazirusha tu)
Sijawahi kusikia Hawa wasanii wakilalamika kutokana izi aka zao
Diamond--simba
Blue byser--simba
Dudu baya--mamba
Shetta--mamba

So mbona moze kumfananisha harmorapa na nyani imekuwa headline sana, so mnataka kunambia kuwa sokwe yeye hatakiwi kufananishwa na binadam au yeye cyo mnyama maana wasanii niliowataja apo juu sijawai sikia ata siku moja wakilaumu kufananishwa na hao wanyama
 
honestly huyo iyobo kakosea sana kumfananisha na nyan binadamu mwenzie ila nmewaza angemfananisha na simba ingekuaje?
 
Sasa mtu anaishi kwa kukata viuno mbele ya wanaume wenzake (sio kosa) ila tunapata wasi anapoanza kujisifia sura na kukandia wanaume wenzake eti wabaya! Hizi tabia zitatumalizia vijana.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] point
 
Kwanza ungerekebisha hapo kusema 'tumezoea wazungu ndio huwaita Waafrica Nyani'...ni Wazungu wangapi umeshawasikia? lazima uamini kuwa wapo hao Wazungu wengi tu wanaojali utu labda kuliko hata ndugu na jirani zako hapo kijijini kwako, hivyo sio busara kuwaweka wote kwenye kapu moja.

Na kwa kuitwa huko Nyani hivi mmeshawahi kubadilika kweli kuwa Nyani? nadhani kwa kukuza mambo ndio mnawapa nguvu wanaopenda kukejeli waendelee kuwakejeli.

Sasa hapa tunamchukia anayemuita mwingine Nyani au tunamchukia huyu mnyama Nyani mwenyewe? kwani nimeona wapo wengi tu wanaojiita majina ya Wanyama kama Simba, Mamba, Chui, Faru au Mnyama..huyu Nyani au Sokwe ana mkosi gani?
 
Kwanza ungerekebisha hapo kusema 'tumezoea wazungu ndio huwaita Waafrica Nyani'...ni Wazungu wangapi umeshawasikia? lazima uamini kuwa wapo hao Wazungu wengi tu wanaojali utu labda kuliko hata ndugu na jirani zako hapo kijini kwako, hivyo sio busara kuwaweka wote kwenye kapu moja.

Na kwa kuitwa huko Nyani hivi mmeshawahi kubadilika kweli kuwa Nyani? nadhani kwa kukuza mambo ndio mnawapa nguvu wanaopenda kukejeli waendelee kuwakejeli.

Sasa hapa tunamchukia anayemuita mwingine Nyani au tunamchukia huyu mnyama Nyani mwenyewe? kwani nimeona wapo wengi tu wanaojiita majina ya Wanyama kama Simba, Mamba, Chui, Faru au Mnyama..huyu Nyani au Sokwe ana mkosi gani?
Apo sasa
 
Mbona wanafanana! kwa hiyo wote ni nyani?
Nilifikiri macho yangu hali hiyo ana hela je ingekuwa anatembeza nguo mji mzima angefananaje? Inabidi huyo Iyobo akue hata yeye hana tofauti na nyani.
 
ni kama wanataniana au?
AU KWA KUWA NI WCB?
mi nikikwita nyau wewe ndo the best of my friends!
siitagi mtu nyau kimasikhara sikhara!
yani yule rafiki namfeel kabisa toka moyoni mi ndo namwita nyau!
au sijaelewa hapa!
NAONA LIMEKUUUUUUUUUUUUUUUZWA!
 
Hahahaha
Oooh my God!!!

Ngoja nilifuatilie hiki kisa vzuri niangalie namna ya kumtetea Iyobo
MIMI NAMTETEA KABISA KABISA!
UPO UTANI KWA WENGINE UNAONEKANA NI TUSI!
mfano mi kuna mtu naweza mwita tu we shangingi umelala?
au we jambazi naona unapita hapa hebu njoo!
KIUKWELI KABISA KABISA NAKUWA SIMAANISHI MAANA YA HAYO MANENO AS YANATAFSIRIKA!
IT IS MY WAY OF KUMWITA RAFIKI ALIYE AZIZ KABISA KWANGU!
 
Kosa kubwa sana ulaya unafungwa kumuita binadamu mwenzio sokwe au nyani wazungu ndowalikuwa na tabia hizi za kishenzi ila Nina mashaka na huyu jamaa anaweza kuwa ni pilau hamonaiz anajipigia iweje ammaindi mtu asiyeusikanae kama anagombania bwana vile mwanaume mzima mi ndomana hawa wcb siwapendi kabisa.mtu kujifananisha na mtu maarufu ni jambo la kawaida kabisa tatizo kujiskia na ushamba mwingi
HAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAPO PA HAWA WCB SIWAPENDI KABISA NDO KWENYE TATIZO!
hapo tu!
wala sio nyani!
VITU VINGINE KUWAGE MNAONA AIBU!
 
BASATA fungia huyu mkata viuno wa WCB ,harmo raper peleka iyobo mahakamani kwa kukudhalilisha natumani sheria za mitandao zintamtandika tu
 
Ikitokea mtu akakupa a.k.a "keki" lazima uchekelee lakini huyo huyo mtu aje akupe a.k.a "mavi"(zile action za akina jet lee,chuck noris lazima utazirusha tu)
Kwa hiyo nyani ni unamfananisha na mavi cyo
 
Hao wote ukiwatizama ni sawa na uji na ugali.
Sijaona tofauti za sura zao
 
Sijawahi kusikia Hawa wasanii wakilalamika kutokana izi aka zao
Diamond--simba
Blue byser--simba
Dudu baya--mamba
Shetta--mamba

So mbona moze kumfananisha harmorapa na nyani imekuwa headline sana, so mnataka kunambia kuwa sokwe yeye hatakiwi kufananishwa na binadam au yeye cyo mnyama maana wasanii niliowataja apo juu sijawai sikia ata siku moja wakilaumu kufananishwa na hao wanyama
Bora ajiite kuliko kuitwa huoni kunatofauti
 
ni kama wanataniana au?
AU KWA KUWA NI WCB?
mi nikikwita nyau wewe ndo the best of my friends!
siitagi mtu nyau kimasikhara sikhara!
yani yule rafiki namfeel kabisa toka moyoni mi ndo namwita nyau!
au sijaelewa hapa!
NAONA LIMEKUUUUUUUUUUUUUUUZWA!
"Wanataniana" ulichokiandika una maanisha au..?
 
Back
Top Bottom