Hapa Mwakyembe tafakari tena

Hapa Mwakyembe tafakari tena

PintoG

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2017
Posts
612
Reaction score
732
Waziri wa michezo katangaza msimu ujao ni wachezaji watano tu wa kigeni ndo wataruhusiwa kwa mechi moja.
Waziri ajiulize maswali haya
-Je TZ tuna mfumo wa kutengeneza wachezaji wa ndani kushindana kimataifa?
Je timu za taifa za kama zenye mafanikio ni kweli lig zao za ndani haziruhusu wachezaji wengi wa kigeni?
Mm naona waziri ungeshirikisha wadau wa soka katika hili, ukizingatia msimu ujao tuna timu nne za kuwakirisha inchi, kwa kuwa na wachezaji wengi wazawa tunaenda kupoteza tena nafasi hizo nne.
 
Huyu waziri sidhani kama anazijua sheria 17 za fifa.
 
Dah mpira unahitaji viongozi wanaojua mpira, viongozi walosomea mpira... Dunia imebadilika sana, kwa kauli yake kuna point ipo japo kuna namna anapaswa kufanya , !! Kila siku wadau wa mpira wanalia na swala la uwekezaji katika soka but wanafumba macho na kujifanya hawaoni!! Mpira unahitaji pesa, mpira unahitaji miundombinu bora, mpira hautaki siasa!! Mwakyembe anapaswa kupata mawazo toka kwa wadau mbalimbali wa mpira
 
Ama atakuwa anakosea, au ni katika kutafuta TZ kupata pa kuanzia.
Hili la timu zinazoshiriki ligi kuu na ligi daraja la kwanza kutakiwa kuwa na timu za vijana,,,
Ni vema kurudia kumsikiliza vizuri au kupata ufafanuzi wake kuhusu ushiriki wa wachezaji wa kigeni kwenye timu zetu katika mashindano ya kimataifa.
Natumaini lengo lake kupata wachezaji bora wa Timu ya Taifa; na TZ kuwa na wachezaji bora wa viwango vya Kimataifa.
Ni maoni
 
Huyu waziri nahisi hajapona na pia haitendei haki PhD yake nadhani hata waliompa wanajuta aliondolewa uwaziri wa kwa kuropokaropoka Kama kudai wasio na vyeti vya kuzaliwa wasifunge ndoa
 
Huyu si ndo kipindi kile alisema ili mtu aoe or aolewe lazima awe na cheti cha kuzaliwa baada ya siku chache bosi wake akatengua hayo maamuzi na akatumbuliwa...???kama ndo yeye mnategemea mkimpa nafasi ya kuongea ataongea nini
 
Huyu si ndo kipindi kile alisema ili mtu aoe or aolewe lazima awe na cheti cha kuzaliwa baada ya siku chache bosi wake akatengua hayo maamuzi na akatumbuliwa...???kama ndo yeye mnategemea mkimpa nafasi ya kuongea ataongea nini
Usifukue makaburi mkuu
 
Usifukue makaburi mkuu
Mkuu kuna wazee wengine inatakiwa wapumzike tu sahivi...tatizo lao wanajifanya wanajua kila kitu....kama huyu hajui chochote kuhusu michezo ndo mana unamsikia anaongea vitu ambavyo havina logic yoyote...hivi vyeo vya kupeana kirafiki ili swahiba wako naye aitwe waziri matokeo yake ndo haya
 
Ndio matatizo ya nchii yetu mtu anaetoa maagizo hajui hata kupiga Danadana Mbili.
 
Ndo la maana rais wa Congo kamteua kidiaba kuwa wazir wa michezo,atafanya kitu anachokijua akiwa tp mazembe,ila sasa mwakyembe wap na wap na michezo,anashindwa kujua mfumo wa tz wa kupata wachezaj ni mbovu anapaswa kujua yy Kama waziri anapaswa kupeleka muswada bungeni ili watengeneze mfumo namna mashule yatakavyokuza vipaji na academy za maana,suruuhu sio kuweka limit ya wachezaj kwa ligi,Congo hawana limit ila wameuza wachezaj nje soka linapigwa haswaa,Uganda kaanzisha academy za vyuo na ana ligi za vyuo angalia matokeo,waziri panua ubongo ufikrie Zaid,usitoe majibu mepesi ktk maswali magumu
 
Back
Top Bottom