PintoG
JF-Expert Member
- Jun 12, 2017
- 612
- 732
Waziri wa michezo katangaza msimu ujao ni wachezaji watano tu wa kigeni ndo wataruhusiwa kwa mechi moja.
Waziri ajiulize maswali haya
-Je TZ tuna mfumo wa kutengeneza wachezaji wa ndani kushindana kimataifa?
Je timu za taifa za kama zenye mafanikio ni kweli lig zao za ndani haziruhusu wachezaji wengi wa kigeni?
Mm naona waziri ungeshirikisha wadau wa soka katika hili, ukizingatia msimu ujao tuna timu nne za kuwakirisha inchi, kwa kuwa na wachezaji wengi wazawa tunaenda kupoteza tena nafasi hizo nne.