Ndo la maana rais wa Congo kamteua kidiaba kuwa wazir wa michezo,atafanya kitu anachokijua akiwa tp mazembe,ila sasa mwakyembe wap na wap na michezo,anashindwa kujua mfumo wa tz wa kupata wachezaj ni mbovu anapaswa kujua yy Kama waziri anapaswa kupeleka muswada bungeni ili watengeneze mfumo namna mashule yatakavyokuza vipaji na academy za maana,suruuhu sio kuweka limit ya wachezaj kwa ligi,Congo hawana limit ila wameuza wachezaj nje soka linapigwa haswaa,Uganda kaanzisha academy za vyuo na ana ligi za vyuo angalia matokeo,waziri panua ubongo ufikrie Zaid,usitoe majibu mepesi ktk maswali magumu