Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio Kawawa huyu?
Yes, Sheikh Aboud Jumbe Mwinyi.Mwinyi kushoto
[emoji28][emoji28][emoji28]Toka lini Kawawa akawa mrefu kihivi. Kawawa alikuwa futi 2 tu, ukichanganya na zile Raizon zake alizokuwa anavaaga alikuwa anafikisha futi mbili na nusu at most.
kawawa na Abdul Jumbe
Hizo picha huwa hazitambui. Anatambua Forojo Ganze na wazee wenzake waliokuwa wanakwenda kuchinja mbuzi mlingotini, ili mwalimu aweze kutawala kwa amanibila shaka mwanahistoria wa kariakoo sheikh mohamed said atakuwa anawafahamu hao wazee.
Rashid Mfaume Kawawa Abas Syskes na Julias Kambarage Nyerere...
macho yako yemegeuka 😀Sio Kawawa huyu?
Umenikumbusha Mwalimu alisema kipindi wanahangaika na uhuru WAZEE walikuwa wanampeleka kwenye 'Dua' za jadi, na yeye ingawa alikuwa mkorofi kwenye hayo mambo lakini alilazimika kushiriki ili waende sawa.hao itakuwa wazee wa darisalama wa enzi hizo wazee wa kamati, kamati ya ufundi...acha kabisa hao wazee