Wyatt Mathewson
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 10,432
- 25,124
Namuona Rashid kushoto kabisa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Namuona Rashid kushoto kabisa!
Hapa nawaona Kenyatta, Kaunda, Samora, Nyerere na Mugabe. Huyo mwingine nani?
Idi Amin.Hapa nawaona Kenyatta, Kaunda, Samora, Nyerere na Mugabe. Huyo mwingine nani?
Weeeh! Sema haki ya munguIdi Amin.
Huyo wa kwanza unayemtaja kama Kenyata ni Sam Nujoma.Weeeh! Sema haki ya mungu
Timu nchi za mustari wa mbele, vizee vikorofi hivo ndo vimezalisha SADAC, lkn walikuwa vijana wakati huo hapo amabaki mmoja tuu na ni mzee sana.
Weee eclat tuombe samahani bin radhi Vatican hkn futari na mikeka. na wakijua umefuturu hupokei sakaramento.
Wa kwanza kushoto ni Mzee Rashid Mfaume Kawawa. Anayefuatia simfahamu na wa tatu ni Mwalimu Nyerere.