Hapa Mwalimu alikuwa ana futuru na nani na nani?

Kawawa hayupo pichani hapo. Wa kushoto kabisa ni Sheikh Ali Hassan Mwinyi, wa katikati simjui lakini siyo Kawawa.
 
hao itakuwa wazee wa darisalama wa enzi hizo wazee wa kamati, kamati ya ufundi...acha kabisa hao wazee
Umenikumbusha Mwalimu alisema kipindi wanahangaika na uhuru WAZEE walikuwa wanampeleka kwenye 'Dua' za jadi, na yeye ingawa alikuwa mkorofi kwenye hayo mambo lakini alilazimika kushiriki ili waende sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…