Hapa ndipo anapoishi Kajala, nje na ndani ya nyumba yake

Designer HADIJA, mavazi akatuonyeshee KAJALA. PFUNK alinyonga bit ya JAY MO.
 
Kwa hiyo hii ndio crib yake, bado safari tunayo.
 
si mbaya, anakaa sehemu nzuri japo hatujui ni kwake au kapanga.Kuna vijana watamponda ili hawajawahi/hawatawahi kuishi sehemu kama hiyo..kwa makazi hapa ni pazuri na sina shida.. Hiyo ofisi ndio upupu mkubwa.. kweli msanii mkubwa kama kajala unakua na ofisi ndogo kama hiyo?? Je kwanini anaweka ofisi nyumbani??? Au lengo ni kukwepa kulipa kodi??? Means kama nina kazi nikugongee gate nyumbani???Je hajui kuweka ofisi nyumbani inakaribisha wizi nyumbani kwako au maadui zako kuweza kuku-study zaidi??pia ningependa kujua hiyo KAJALA ENTERTAINMENT ndio hicho kiofisi au kuna company nyingine na hiyo ni part of the company..??? Je hiyo kajala entertainment amesajili kama ofisi au company????kama kajala entertainment ndio hiyo ofisi hapo amefeli kabisa kwa kua hiyo ofisi ni ndogo, ipo nyumbani, na aina ya business anayofanya ni very small ukilinganisha na umaarufu/jina wake/lake... NILICHOJIFUNZA HAWA WASANII WANA kampani/marafiki wabaya au wasio na uelewa mkubwa, huyu angetafuta rafiki/mshauri msomi anayejielewa kwenye kitengo cha business angem-brand apige biashara kubwa/kisasa zaidi
 
Kwa maisha ya kibongobongo huyu dada kajitahidi... ukichukulia yeye celebrity
Maana maisha yao macelebrity wetu maigizo tupu.
...Anaonekana msafi
.....Ana aibu
...Nimeshangazwa kusema ana wafanyakazi 3, wote hao kwa kazi gani humo ndani!
 
Ana booonge la manyonyo aisee, yameangukaaaaaaa.....
 
Kichwa cha habari kinasema hapa ndipo anapoishi km pangekuwa nyumba yake wangesema huu ndio mjengo anao umiliki kajala.
 
Kwa maisha ya kibongobongo huyu dada kajitahidi... ukichukulia yeye celebrity
Maana maisha yao macelebrity wetu maigizo tupu.
...Anaonekana msafi
.....Ana aibu
...Nimeshangazwa kusema ana wafanyakazi 3, wote hao kwa kazi gani humo ndani!
Kuna wakupika,kufua nguo na garden.
 
...kutoka kuoga + dera 'chukuchuku!'
...sipati picha;nahisi camera yangu mbovu!
Sasa mtu upo home kwako, skin jeans ya nini wakati umetoka bafuni? kitu dera chukuchuku, full hewa, hata joto hulisikii
 
Hivi hawa wasanii unawajua? Si ajabu hapo kaja kufanyiwa interview wala sio kwake! Hayupo comfortable kabisa [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…