cbebe
Member
- Oct 6, 2016
- 66
- 55
Mtoto wa kisuma aliyekulia mjini si mshamba kama wasukuma wengine wanavyoitwa washamba.
Kuna jamaa mshambamshamba wa sweden anakula kiulani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtoto wa kisuma aliyekulia mjini si mshamba kama wasukuma wengine wanavyoitwa washamba.
Yaan kupanga ndo waje watuonyeshe tena inaelekea wamejirekodi na simuNasikia kapanga
Ana mtoto mmoja mkubwa tu so yameanguka kwa sababu maalumAna booonge la manyonyo aisee, yameangukaaaaaaa.....
Atakuwa mgeni hapa mjini.Kuna jamaa mshambamshamba wa sweden anakula kiulani.
Kuna wakupika,kufua nguo na garden.Kwa maisha ya kibongobongo huyu dada kajitahidi... ukichukulia yeye celebrity
Maana maisha yao macelebrity wetu maigizo tupu.
...Anaonekana msafi
.....Ana aibu
...Nimeshangazwa kusema ana wafanyakazi 3, wote hao kwa kazi gani humo ndani!
Sasa mtu upo home kwako, skin jeans ya nini wakati umetoka bafuni? kitu dera chukuchuku, full hewa, hata joto hulisikii...kutoka kuoga + dera 'chukuchuku!'
...sipati picha;nahisi camera yangu mbovu!
Hivi hawa wasanii unawajua? Si ajabu hapo kaja kufanyiwa interview wala sio kwake! Hayupo comfortable kabisa [emoji15] [emoji15] [emoji15]Wengi tukitoka kuoga tunatupia Madera chukuchuku tu. Ya nini kujibana hom kwako mwenyewe. Kanishangaza tu hayuko comfortable na camera/ interview. Utafikiri nyumba ya kuazima au kalazimishwa asivae bra.
Nimeupenda mpangilio wake wa nyumba. Japo ndogo, arrangement nzuri
Sio kwake hapo mipicha ya ukutani kajibandikia kwa ajili ya interviewYaan kupanga ndo waje watuonyeshe tena inaelekea wamejirekodi na simu
Shameless
Duu hapa nimecheka balaaNimepoteza dakika 9:39 za maisha yangu kutazama hio video hapo juu.