Huyo si keshahamia kwa Wolper?...asee hawa wana kazi daah?Ni ya kupanga.Nasikia Mkuu mpanda miti Ndo naniliu wake.Kajala kwa Pesa ipi ya kupanga nyumba.Iyo Sinza.But Iyo Story yake ilitoka gazetini akakiri kupanga but ni ya Viuno
ameachana na makonda?Kuna jamaa mshambamshamba wa sweden anakula kiulani.
ameachana na makonda?
Shoga nenda kwa Milly insta ujionee, nimeogopa kuweka screen shot hapa sina milioni saba[emoji23] [emoji23] [emoji23] ....maskini kajala kumbe ndo maana alikuwa na mawazo wakati anahojiwa! Dunia hii
Ni kwa vile unajitambua.Mie kwa kweli sipendi makorokocho mengi. Ndani ya nyumba
We nenda insta search " tzshaderoom"Milly ndio nani nikafate umbea?
We nenda insta search " tzshaderoom"
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji120]ninae ila sikujua kama anaitwa Milly
Makonda si walisema anamke?ameachana na makonda?
Shougangu kule kwa housegirl milly kuingia ndani kwake saa hivi ni buku 2 naona umesahau kumwambia abebe pesa yake mkononiWe nenda insta search " tzshaderoom"
Heee toka lini mbona mi naingia na kutoka bure?Shougangu kule kwa housegirl milly kuingia ndani kwake saa hivi ni buku 2 naona umesahau kumwambia abebe pesa yake mkononi
hahaaaYaani hapo kwenye viatu nilijua duka[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Kwani Le Mutuz kesha hama kwa mamaa'ke wa kambo?Hii nyumba ni yake au kapanga kama Le Mutuz??
Kabisa aiseeWeka kwa mfumo wa picha
Aisee Huyu Mzee amewakosea nini mbona huwa mnapenda kumchokoza Mzee wa masuper mitindizKwani Le Mutuz kesha hama kwa mamaa'ke wa kambo?