Hapa ndipo anapoishi Kajala, nje na ndani ya nyumba yake

Hapa ndipo anapoishi Kajala, nje na ndani ya nyumba yake

Ni ya kupanga.Nasikia Mkuu mpanda miti Ndo naniliu wake.Kajala kwa Pesa ipi ya kupanga nyumba.Iyo Sinza.But Iyo Story yake ilitoka gazetini akakiri kupanga but ni ya Viuno
 
Ni ya kupanga.Nasikia Mkuu mpanda miti Ndo naniliu wake.Kajala kwa Pesa ipi ya kupanga nyumba.Iyo Sinza.But Iyo Story yake ilitoka gazetini akakiri kupanga but ni ya Viuno
Huyo si keshahamia kwa Wolper?...asee hawa wana kazi daah?
 
Shoga nenda kwa Milly insta ujionee, nimeogopa kuweka screen shot hapa sina milioni saba[emoji23] [emoji23] [emoji23] ....maskini kajala kumbe ndo maana alikuwa na mawazo wakati anahojiwa! Dunia hii

Milly ndio nani nikafate umbea?
 
Kama ni kwake kwel kawapiga bao wasanii maandazi
 
hao Global walikuja na search warrant?..
 
Back
Top Bottom