Hapa ndipo anapoishi Kajala, nje na ndani ya nyumba yake

Nilichogundua:

1. Nyumba yake ni ndogo halafu kaijaza sana mavitu ndo inazidi kuonekana imebana....

2. Hayupo comfortable,katoka kuoga katupia dela bila braa halafu anaficha ficha mtindi wake na mkono ili tusione "ndala" zake...

3. Anabana bana kila saa hilo dela kwa kulinyanyua ili tuone tako...
Anahisi akialiachia ataonekana kapigwa pasi...

3. Ni msafi...

Ovaaa[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Wengi tukitoka kuoga tunatupia Madera chukuchuku tu. Ya nini kujibana hom kwako mwenyewe. Kanishangaza tu hayuko comfortable na camera/ interview. Utafikiri nyumba ya kuazima au kalazimishwa asivae bra.
Nimeupenda mpangilio wake wa nyumba. Japo ndogo, arrangement nzuri
 
Wanawake Wa daresalamaa mna mambo
 
Wengi tukitoka kuoga tunatupia Madera chukuchuku tu. Ya nini kujibana hom kwako mwenyewe. Kanishangaza tu hayuko comfortable na camera/ interview. Utafikiri nyumba ya kuazima au kalazimishwa asivae bra.
Nimeupenda mpangilio wake wa nyumba. Japo ndogo, arrangement nzuri
...kutoka kuoga + dera 'chukuchuku!'
...sipati picha;nahisi camera yangu mbovu!
 
Wengi tukitoka kuoga tunatupia Madera chukuchuku tu. Ya nini kujibana hom kwako mwenyewe. Kanishangaza tu hayuko comfortable na camera/ interview. Utafikiri nyumba ya kuazima au kalazimishwa asivae bra.
Nimeupenda mpangilio wake wa nyumba. Japo ndogo, arrangement nzuri

Mie kwa kweli sipendi makorokocho mengi. Ndani ya nyumba
 
Back
Top Bottom