Hapa ndipo huwa ninautukuza utukufu wa Mwenyezi Mungu

Hapo ngozi imeishi kweli Sky Eclat au ni macho yangu ya ^Juma-tar-two^ ndiyo hayaoni!??? Au ndiyo unataka kuhalalisha akina dada tutembeee uchi kama ambavyo wengine washajianzia!???
 
Hata kwato za ng'ombe haziishi lakini zikifanywa soli ya kiatu zinaisha.. ndio ujue kuna uhai(seli hai huzalishwa kufidia zilizokufa jana)
 
Hata kwato za ng'ombe haziishi lakini zikifanywa soli ya kiatu zinaisha.. ndio ujue kuna uhai(seli hai huzalishwa kufidia zilizokufa jana)
Na kuitibu hii miguu inawezekana, akishaoga asugue miguu kwenye jiwe, hii dead skin iondoke. Apake Vaseline na avae socks kutunza moisture.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…