Hapa ndipo UDSM inaponikata stimu..!!!

aise alafu zile hostel za main campus wazifanyie ukarabat
 
Haya bhana...!!!

wewe nenda tu utajua namna ya kuishi, nasema hivi kwa sababu nimesoma pale miaka kuanzia mid 1990s mpaka late 1990s na niliweza kuwa na chumba kuanzia 1st mpaka last yr bila rushwa wala nini.
 
wewe nenda tu utajua namna ya kuishi, nasema hivi kwa sababu nimesoma pale miaka kuanzia mid 1990s mpaka late 1990s na niliweza kuwa na chumba kuanzia 1st mpaka last yr bila rushwa wala nini.

Sio mbaya pia kama ungetuonjesha kidogo hizo mbinu za 90s,then tuongezee na hizi za 20s tutajazozikuta chuoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…