Hapa ndipo UDSM inaponikata stimu..!!!

Hapa ndipo UDSM inaponikata stimu..!!!

Salaam wana JF..
Wakati napitia maelekezo ya msingi kwa 1st year students nimekutana na huu utata...

JOINING INSTRUCTION....
RESIDENCE
accomodation at all campuses is available on application at the cost of 800/= @day on mlimani campus and 500/= @day for mabibo..adhering to accomodation contract is a must...

PRE ORIENTATION INSTRUCTIOS...
ACCOMODATION
spaces in the halls of residence are very limited and,as a result campus accomodation is not guaranted except to foreign students and physically handicapped students

Kwa yeyote mwenye uelewa naomba anipe ufafanuzi wa haya maelezo yanayo chengana...

NB:Not an offence nor an insult
Nawasilisa..

aise alafu zile hostel za main campus wazifanyie ukarabat
 
Haya bhana...!!!

wewe nenda tu utajua namna ya kuishi, nasema hivi kwa sababu nimesoma pale miaka kuanzia mid 1990s mpaka late 1990s na niliweza kuwa na chumba kuanzia 1st mpaka last yr bila rushwa wala nini.
 
wewe nenda tu utajua namna ya kuishi, nasema hivi kwa sababu nimesoma pale miaka kuanzia mid 1990s mpaka late 1990s na niliweza kuwa na chumba kuanzia 1st mpaka last yr bila rushwa wala nini.


Sio mbaya pia kama ungetuonjesha kidogo hizo mbinu za 90s,then tuongezee na hizi za 20s tutajazozikuta chuoni
 
Back
Top Bottom