Hapa ndipo UDSM inaponikata stimu..!!!

Hapa ndipo UDSM inaponikata stimu..!!!

xir jyerphy

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2013
Posts
994
Reaction score
184
Salaam wana JF..
Wakati napitia maelekezo ya msingi kwa 1st year students nimekutana na huu utata...

JOINING INSTRUCTION....
RESIDENCE
accomodation at all campuses is available on application at the cost of 800/= @day on mlimani campus and 500/= @day for mabibo..adhering to accomodation contract is a must...

PRE ORIENTATION INSTRUCTIOS...
ACCOMODATION
spaces in the halls of residence are very limited and,as a result campus accomodation is not guaranted except to foreign students and physically handicapped students

Kwa yeyote mwenye uelewa naomba anipe ufafanuzi wa haya maelezo yanayo chengana...

NB:Not an offence nor an insult
Nawasilisa..
 
mkuu kwa kawaida first year wote wanapata rooms. Kwa wanaondelea rooms ndio probability kupata. Mimi nilipata mwaka 3 hope mwaka wa 4 pia nitapata
 
Kwahiyo hapo waliposema kuwa rooms za accomodations hazitoshi walikua wanawalenga continuing students???
 
Msaada....
CONTINGENCIES
it is advisable for students who are sponsored by HESLB to have sufficient fund from their own sources to catter for initial costs when they arrive.The advice is based that it has been taking a little bit time for HESLB to sort out some issue before funds are released to students..

Cobbers I need your sincerely assist on the above puzzle....!!
 
hapo in short ikitokea umepata either campus au mabibo bei ni hiyo kwa siku.... lakini kama ww si mtanzania au ni mremavu uhakika wa kupata ni Mia.
 
Hebu nifahamishe hapo kwenye contingence
 
swali la kwanza: wanamaanisha kuwa wanafunzi wote wa 1st year wanapataga vyumba ila sio wote watakaa campus(except kwa walemavu na foreigners watapata campus) bali wengine watapata mabibo hostel

swali la pili: HESLB huwa wanachelewesha kidogo kutoa boom hivyo basi mwanafunzi anashauriwa kwenda na pesa yakutosha kutumia angalau wiki mbili za mwanzo huku wakisubiri boom litoke.
Ndo ninavyojua mkuu xir jyerphy
 
Last edited by a moderator:
Unaonekana mgumu kuelewa umeambiwa 1yr unapata accommodation bado unataka kupata neno moja moja chukua dictionary
 
I roger that mkuu dy/dx
 
Last edited by a moderator:
Unaonekana mgumu kuelewa umeambiwa 1yr unapata accommodation bado unataka kupata neno moja moja chukua dictionary

Kaka Zipuwawa...
"Knowledge is that,to know that you know less"
Jibu la awali halikutosheleza matakwa yangu...
 
Last edited by a moderator:
mkuu kwa kawaida first year wote wanapata rooms. Kwa wanaondelea rooms ndio probability kupata. Mimi nilipata mwaka 3 hope mwaka wa 4 pia nitapata

Eti Johnpaul thedei,kaufundi gani unatumia kujihakikishia nafasi ya accomodation while you are a continuing student...
 
Last edited by a moderator:
Mdogo wangu xir jyerphy,

Kwa kifupi ni hivi - kwa mwaka wa kwanza wote, chumba lazima kupata. Ila UDSM ina halls of residence mbili; yaani pale pale campus na mabibo hostel. Lakini ni nadra sana kupata main campus, hivyo kwa mwanafunzi wa kigeni au mlemavu ndio tu wenye kipaumbele cha kupata. Kwa wengine kupata campus ni bahati hivyo wengi upangwa mabibo hostel.

N.B: Ukipangwa campus kunapunguza gharama ya usafiri, fujo ya kugombania ma-shuttle na muda wa usafiri (commuting hours).
 
Last edited by a moderator:
ongea na chair wa hall au block mana hao ndo wanakula mchongo na warden
 
Unenikata kiu mkuu...!!!
 
Last edited by a moderator:
ongea na chair wa hall au block mana hao ndo wanakula mchongo na warden

Kuna jamaa alisema kuna mbinu anayotumia kupata room but it is expensive.....!! Sijui ni ujanja gani huo
 
Salaam wana JF..
Wakati napitia maelekezo ya msingi kwa 1st year students nimekutana na huu utata...

JOINING INSTRUCTION....
RESIDENCE
accomodation at all campuses is available on application at the cost of 800/= @day on mlimani campus and 500/= @day for mabibo..adhering to accomodation contract is a must...

PRE ORIENTATION INSTRUCTIOS...
ACCOMODATION
spaces in the halls of residence are very limited and,as a result campus accomodation is not guaranted except to foreign students and physically handicapped students

Kwa yeyote mwenye uelewa naomba anipe ufafanuzi wa haya maelezo yanayo chengana...

NB:Not an offence nor an insult
Nawasilisa..

yamechengana wapi? mwanzo wamesema ni available na kutoa price, pili ni priorities. kuweka categories za wanafunzi ambao kupata accommodation ni guaranteed haimaniishi not available, na available haimaniishi sufficient - huu ni uelewa wangu.
 
Haya bhana...!!!
 
kamali unaweka hela upate ama kukosa

Back
Top Bottom