Hapa ndipo ulipo utimilifu wa kifo!

Hapa ndipo ulipo utimilifu wa kifo!

Hilo suala halipo na halitokuja kutokea, labda aliyeumba kifo akiondoe hapo tutasalimika, ila kwa sasa tutaendelea kufa mpaka siku hyo ya mwisho
 
kungekuwa na mabadiliko pasipo mawazo..?

Mkubwa ndio maana sijakupinga na wala sina tatizo na mawazo yako, kila kitu kinaanzia kwenye mawazo. Ila anayewaza kuzalisha sisimizi mwenye umbo la tembo anakua na kazi ngumu zaidi ya kuwaza...

Tukirudi kwenye mada, kama ulivyoeleza kwamba kifo hakiepukiki kwa madai ya balance of nature, sasa akitokea binadamu akaja na mbadala si itakua inapingana na hiyo kanuni? Hapo nimeweka mbali mambo ya dini na imani. Nakuelewa hoja yako mkuu.
 
elewa hapa utimilifu wa kifo hayo ni kama mazingira yanayosababisha kifo so ili kushinda kifo je mwanadamu anaweza kwenda kinyume na hayo..?
i think you get me.
hayo maswali hapo chini ni ya kujiuliza tu
 
Haya kaka, endelea kuwaza huo uwezekano but we are all dying anyway!
 
sayansi ni mabadiliko ambayo Mungu alishayasema ktk maandiko mbalmbl(rudi sura arhamani "aya 3-9
 
Nn ndege? Sema simu. Mm huwa najiuliza hawa jamaa wanaoamini upumbavu wa Mungu ndo uwezo mdogo wa kufikiri au ndo utumwa umewaingia sana??? Maana ukitumia nafasi ndogo tu ya kufikiri unagundua mtego uliopo kwenye wizi wa uwepo wa Mungu. Au ni vile hawataki kushughulisha ubongo wao
Bange zako haziwezi kutushawishi tusiamini uwepo wa Mungu...ni swala la muda tu subiri hzo pumzi unazoringia zitakapofika tamati ndo utajua Mungu yukoje,mbaya zaidi itakuwa ni too late bcoz it's the point of no return.
 
Back
Top Bottom