Wapiii akileta ujinga atapokonywa pass ya kusafiria ... Aache ujinga wa kutaka kushindana na serikaliNaskia diamond anaenda kuishi kenya pamoja na tanasha
Hahaa naona huko leo " wafanya part
Ukubwa wake pekee kashakua serikal wakichukua pasipot anapita njia za panyaWapiii akileta ujinga atapokonywa pass ya kusafiria ... Aache ujinga wa kutaka kushindana na serikali
Ningekuwa mimi ningebadili uraia as long as naweza kuishi popote pale na nikatusua.Ukubwa wake pekee kashakua serikal wakichukua pasipot anapita njia za panya
Kuthibitisha hili, baada ya Diamond na Rayvanny kupigwa Pini na BASATA, Wasafi Festival ndio basi Tena. Pia kundi la WASAFI hautalisikia Tena. Kwa taarifa nilizonazo ni kwamba kifungo hiki kinaweza kudumu kwa miaka miwili.